Sitasahau siku nilipootea begi la hela Bank na kushindwa kuzitumia

Sitasahau siku nilipootea begi la hela Bank na kushindwa kuzitumia

Usiache bange kabisa kama unataka uwe na ndoto nyingi za hivyo
Na ipo siku utampigia Elon Musk umfokee Kwanini kachomoa [emoji366] ya kuinunua Twitter
 
Ahsante sana kwa walioamua kuja kuuharibu Uzi wangu lakini nina uhakika hii story itakapofika mwisho ndio mtajua jinsi fedha zenu haziko salama huko bank

Sijamtag mtu kuja mbiombio kuchungulia huu uzi, mmekuja wenyewe,kama hii story ni chai au alkasus hakuna aliyelazimishwa kunywa

Tukutane kesho saa tano asubuhi kwa muendelezo
 
Back
Top Bottom