Sitasahau siku nilipootea begi la hela Bank na kushindwa kuzitumia

Mkuu umenichekesha sana basi tu.
Mambo ya manager bank kukaa na funguo za sehemu ya kuhifidhia pesa yashapitwa na wakati siku hizi hizo sehemu hazifunguliwi kwa funguo tu technology imekua
 
Naqubar[emoji1787][emoji1787]
 
Ilikuwa benki au ofisi ya vikoba??
 
We jamaa muongo unachukua uko story za vitabu unakuja na huku kutuadithia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…