Huyu tahira ana umia sana akisikia jina samiaHata saruji mwaka 2016 ilikuwa 10,000 lakini 2020 ilikuwa 17,000-18,000 ..
Sukari mwaka 2016 ilikuwa 1500 lakini 2020 ilikuwa 3,000 and so on..
Maisha yanasonga mbele hayarudi nyuma wewe taahira.
Kwa hiyo mfumuko wa bei uliotokea Marekani umesababishwa na utawala wa mama Samia Suluhu Hassan? Inflation ni tatizo lililoikummba dunia (fuatilia). Yule mzee alikuwa ni katili sana! Hakufaa kwa lolote,Japo Magufuli hakuongeza mishahara lakini pia hapakuwepo na huu mfumuko wa bei uliopo sasa, kwa kifupi Magufuli na Samia hawana tofauti kwenye hili la kuinua hali ya wafanyakazi.
Kama unakaa kwa shemeji alikoolewa dadako huwezi kujua gharama za maisha zimepanda kwa kiasi ganiHiyo 60% umeipata wapi mkuu.
Yesu ni Bwana na Mwokozi
Mume wa dadako anakunulia chakula hapo unapoishi sasa utajuaje uchungu wa wenye majukumu!Naona mapovu ya njaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]..
Kuwa chawa ni raha Sana hasa Chawa wa Mama..
Taahira wewe ulizoea vya bure piga kazi fala wewe.
Ninakubaliana na wewe.Tulitaka kuwa na raisi Magufuli kwa miaka kama 20 hivi inchi iendelee
USSR
Watu elfu kumi wakimpemda nyie hamsini mkichukia ....Haina mashiko .rip magufuliSio kweli. Wewe sio mfanyakazi ndio maana huoni tofauti, kaa kimya usiwakumbushe watu machungu.
Vp kwani aliyekupitisha kwenye tanuri alikuwa CHAMA Cha upinzani?Habari,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.
Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.
Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.
Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.
Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.
Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.
Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.
Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
Hakuna maendeleo yanayokuja ukiwa umeinua miguu juu,umekunja nne,with three women's around you and both need your cash,na bia za kuhonga juu ya meza ,....and..enjoying life near the beach ....Kila maendeleo lazima yalipitia moto,...after all jpm alisema kile kilikuwa kipindi Cha mpito na hata kama angeendelea kuwa hai naamini lilo nalo lingeta....tatizo tz mnapenda makelele na starehe hamtaki kupitia kwenye moto Ili mtoke kama thahabu,mnaachoona nyieBora huo utaahira wa hivyo kuliko wa Mungu wenu alioufanya kuwanyima haki zao watu.
Kumbe sukuma gang ni wengi kiasi hiki?Tanzania nzima magufuli anapendwa na sakuma gang tu
HawajamboWatanzania kwa kujipendekeza!
Walifanya kazi quantity na si quality. Ha ha haaaaaa kwe kwe kwe kweeeeee. Jamaa ulikuwa group la vyeti fake nini?Habari,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.
Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka kadhaa ili kuendana na kupenda kwa gharama za maisha kila mwaka.HIVYO mtumishi aliweza kuyamudu maisha yake japo kwa kudanadana.
Utawala wa JPM yeye hakuona umuhimu wa jambo hili na kuwasugua watumishi kwa miaka sita bila kuwapatia hiyo haki yao ya msingi, aliwafanya watumishi wengi kushindwa kuendana na gharama za maisha na kuwa na hali mbaya sana kiuchumi.
Hivyo kitendo hichi kilififisha ufikiwaji na upelekaji wa maendeleo kiurahisi kwa wananchi japo wananchi wajinga walikuwa wa kwanza kupiga makofi wakifurahia hayo Mateso ya watumishi wa serikali yao.
Watumishi walifanya kazi quantity na si quality kama maroboti, ufanisi ulishuka sana na nidhamu ya uoga kuwa asilimia 100, nia na hamu ya kufanya kazi za serikali ilipungua kabisa na hata maendeleo yaliyoyowafikia wananchi yalikuwa hafifu japo yalikuwa jina kubwa sana na wale waimba mapambio kama mtakumbuka.
Watumishi wa serikali ni DARAJA la kupitisha maendeleo kutoka kwa serikali kwenda kwa wananchi wakiwa na hali mbaya kiuchumi, kiafya na kijamii basi hata maendeleo tarajiwa yatawafikia wananchi kwa namna hali yao ilivyo na wakiheshimiwa, kupewa stahiki zao kwa wakati basi hata utoaji wa huduma na maendeleo kwa jamii huongezeka maradufu.
Binafsi ninamuona MAMA samia kufanikisha zaidi katika mambo yake hata kwa kulijali hili kundi muhimu katika jamii, na 23% imewaongezea watumishi nguvu sana kabla hata ya kuipata, tunakuomba MAMA samia watumishi utushike mkono na sisi hatutakuangusha kuyatafsiri mawazo yako ya kimaendeleo kuwa uhalisia kwa wananchi wetu tunaowahudumia.
Mungu ibaraki Tanzania, Mungu ibaraki ccm na raisi wetu MAMA SAMIA
Fala kweli huyu,kapewa kijiko cha asali huku akiibiwa chupa ya asaliSasa hivi umeongezewa kamshahara kwa 23% alafu gharam za maisha zimepanda kwa 60% na umewekewa na matozo juu kisha unashangilia! Huo ni utahira.
Kwa hiyo ana nipa chakula,pocket money,bando nk nk..Mume wa dadako anakunulia chakula hapo unapoishi sasa utajuaje uchungu wa wenye majukumu!
Toka hapo kwa shemeji alafu utajionea kama huyo rais wako hamna kitu
We pimbi, kwani pamoja na Magufuli kutoongeza mishahara inflation haikutokea? kwani wakati anaingia madarakani alikuta sukari inauzwa sh.ngapi na akiwa madarakani ikawa inauzwa sh.ngapi? aliyependekeza kodi ya nyumba kupitia luku hakuwa Jiwe? Shenzy type.Sasa hivi umeongezewa kamshahara kwa 23% alafu gharam za maisha zimepanda kwa 60% na umewekewa na matozo juu kisha unashangilia! Huo ni utahira.
Mkubwa. Haya ndio Yale majitu mavivu kufanya kazi mpaka yasukumwe. Kazi hayawezi mishahara mikubwa yanataka.Ungesema tu ule uwanja ulikuuma haya mengine yote ni ngojera.
ww unalalamika kutokupandishwa mshahara, kuna watu private sector walipunguziwa mishahara 25-40% for 1yr during covid na wengine walipoteza kazi kabisa ww unalia lia kutoongezewa salary while uliendelea kupata mshahara na you kept your job during covid.
Kweli shukrani ya punda ni mateke.