Sitasahau usiku ule: Alinifukuza kwake usiku kisa mwanamke!

HII IMEENDA KAKA...⛹️‍♀️
 
😂😂 kaka kazingua...
 
Kuna jamaa bwana tumwite G, aliomba hifadhi kwa msikaji wake A na A ananyumba nzima, kuna siku wakaenda kuangalia mpira ila kila mtu akaenda sehemu yake anayojua yeye ila ile G karud nyumbani kakuta godoro lake na nguo zake zipo nje alafu mlango umefungwa yan yule A alivitoa vitu nje barazan akimtaka jamaa asepejl, jamaa kupiga simu ikawa haipokelewi basi bwana G akaamua kutandika Godoro pale barazani, akauchapa usingizi pale sababu ilikuwa saa saba usiku, kabla hajasinzia vizuri mvua kubwa ikaanza godoro linaloa yeye analoa, ikabid aamke alale amesimama, mida ya saa nane na nusu A anarud nyumbani alafu yupo na mwanamke, kampita jamaa nje kama hamjui kachoma ndani kafunga mlango kalala, wakati wapo ndani mwanamke anamuuliza jamaa "baby yule nje nan? Jamaa likajibu achana nae mlinzi yule".... Kuna masela wana roho ngumu sana
 
Na kesho unasema huyu ni rafiki wa kufa na kuzikana?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Huo ndo uanamume kukutana na mambo ya moto kama hivi, wala haipaswi kusimuliwa ni ujionee mwenyewe[emoji119]
Mie Nisha wahi kulala nimekaa kwenye stuli kwa kula hakuna,,uliendaa baa unaomba wasifunge mapemaa achen mchezo na maisha.
 
Mimi mshikaj anayemsikiliza demu wake namuona bwege tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…