Sitashangaa kuona Yanga inaanzia tena nyumbani na kumalizia ugenini

Sitashangaa kuona Yanga inaanzia tena nyumbani na kumalizia ugenini

Hapa Ndipo Chuki ilipo, Na Ni Kweli Hata Ningekuwa Mimi Nisingeipenda Hii View attachment 2390602
.
IMG_20221017_065907.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ila hii yanga hii.....Nataman ata nijiue...Hivi timu yetu kumbe ndio mbovu kiasi hiki?
Wewe ni Mkia aka Kolo na hauujui mpira.Timu iliyobeba makombe yote ya ndani na imecheza mechi 40+ bila kufungwa unasemaje kwamba ni mbovu? Afya ya akili na afya yako ya Uzazi vina shida.
 
Wewe ni Mkia aka Kolo na hauujui mpira.Timu iliyobeba makombe yote ya ndani na imecheza mechi 40+ bila kufungwa unasemaje kwamba ni mbovu? Afya ya akili na afya yako ya Uzazi vina shida.
Mimi nipo kwenye benchi la ufundi kabisa mkuu...kuanzia babu yangu mpaka wajukuu wote yanga.
Ninajua kwann tunashinda hizi mechi za ndani.
Anachokisema kikwete hapa sio uongo kabisa
 
Attachments

  • 5116890-cd377d9d40ac9b44925017c63e09da07.mp4
    1.5 MB
Eleweni wako watu watakaowabeza kucheza Shirikisho wakati wao hicho kikombe hawana na huko waliko hawawezi kupata kikombe. Matokeo ya leo yanaweza kuja kugeuka kuwa ni a blessing in disguise.
Aliyewahi kuyabeza haya mashindano mpo naye huko jangwani.
 
Sisi utoporoo tulishakubaliana kombe la shirikisho ni kombe la loosers 🤣🤣...hata hao ClubAfricain watutoe tu hatuna tatizo tushazoea
 
Timu zote ambazo zimeshuka kutoka ligi ya mabingwa zinaanzia nyumbani
Tena bila kujali ukubwa wako! Mazembe naye anaanzia nyumbani, ingawa alikuwa ni miongoni mwa timu sita ambazo hazikuanzia michezo ya awali! Wanafanya vizuri. Umefeli, umepewa nafasi ya ku-reseat, basi upendeleo huo unatosha!
 
Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia.

Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko.

Eleweni wako watu watakaowabeza kucheza Shirikisho wakati wao hicho kikombe hawana na huko waliko hawawezi kupata kikombe. Matokeo ya leo yanaweza kuja kugeuka kuwa ni a blessing in disguise.

Uwezo mnao. Tusubiri draw ya kesho kujua wapinzani wetu wapya.

Kazi kwenu viongozi.
Underdog wote huanzia nyumbani, so sio ajabu Wa Hapahapa FC kuanzia kwa Mkapa
 
Back
Top Bottom