Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Wanywe vidonge vya maumivuMlipokuwa mnapokea wageni, kuwapa mbinu ili Simba ifungwe; lengo na makusudi yenu ilikuwa ni kuhuzunika au kufurahi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanywe vidonge vya maumivuMlipokuwa mnapokea wageni, kuwapa mbinu ili Simba ifungwe; lengo na makusudi yenu ilikuwa ni kuhuzunika au kufurahi?
Leo wamelala kwa maumivu mazitoooNimeongezewa furaha baada ya utopolo kufurushwa kwa wakubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787], mlitumia nguvu nyingi Sana kuwapokea wageni na kujaribu kuihujumu Simba Sc you never had a concept that karma eats later!
Go to hell ukakutane na waliojeruhiwa beki zenyewe akina Joyce na mwamnyetoooo!
Hoja ya msingi ni Utopwise kufungwa.Jikite kwenye hoja ya msingi.
Sasa wale Al hilal wana mpira gani pale?
Hamjatufunga kwahiyo lazima mshangilie(mna hasira na Yanga).Jana nilithibitisha kiwa Simba Sc. ina mashabiki wengi sana hasa huku mkoa wa Mbeya. Maana sio kwa kelele zile za kushangilia wakati Yanga wanapachimwa goli. Nilidhani Yanga ndio wamefunga
Kwa nini wasisahau wakati wenye akili pale ni wawili tu kwa mujibu wa mhamasishaji wao.Si wao utopolo ndiyo waliwabeza Simba kucheza shirikisho na wakasema mashindano ya walioshindwa?
Unasahau mapena hivi?
Lisikie hili poyoyo laoUsijitoe ufahamu alama 0.5 unategemea uanzie ugenini???
Then huyajui malengo ya Simba,,,target za Simba nikufka nusu fainali.
Tuna long term plans,, utopolo mlisema mmesajiri timu ya kucheza klabu bingwa....mmeshacheza malengo yenu yametimia!!!!!
Watu wote wenye akili timamu wanaichukia YangaJana nilithibitisha kiwa Simba Sc. ina mashabiki wengi sana hasa huku mkoa wa Mbeya. Maana sio kwa kelele zile za kushangilia wakati Yanga wanapachimwa goli. Nilidhani Yanga ndio wamefunga
😂😂😂 Utawaua kwa presha hawaUsidanganye, Simba ilipotolewa na jwanneng Galaxy ilianzia nyumbani na kumalizia ugenini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], taabu iko palepale.
Timu zote zilizotoka CHAMPIONS LEAGUE ZITAANZIA UGENINI
Weka rank za CAF agosto na Hilal tubishane,Kucheza na kibonde wa NAMUNGO na kuijiona mko vizuri, kutawagharimu muda si mrefu.
yanga ina ubovu gani mkuu ama umesimuliwa mpira mtu kakimbizwa dk 600 sema haikuwa bahati kwa yangaDah ila hii yanga hii.....Nataman ata nijiue...Hivi timu yetu kumbe ndio mbovu kiasi hiki?
Kakimbizwaje? Yani tulikuwa tunamiliki kwenye half yetu tu...Majamaa hayaji kukaba.. Tukianza kushambulia tukifika third quarter yanachukua mpira yanapiga pasi ya chini ndefu inakuta striker wao wawili tu ila wanatosha kuikata beki line yote ya yanga.yanga ina ubovu gani mkuu ama umesimuliwa mpira mtu kakimbizwa dk 600 sema haikuwa bahati kwa yanga
Half yenu vipi kaka? DIARRA MPAKA ANACHEZA KAMA MCHEZAJI WA NDANI ULIKUWA HUONI AU??Kakimbizwaje? Yani tulikuwa tunamiliki kwenye half yetu tu...Majamaa hayaji kukaba.. Tukianza kushambulia tukifika third quarter yanachukua mpira yanapiga pasi ya chini ndefu inakuta striker wao wawili tu ila wanatosha kuikata beki line yote ya yanga.
Hatukufanya shambulizi hata moja la maana.
Hiyo ni kwasababu majamaa yalikuwa hayaji hiyo half kabisa.Half yenu vipi kaka? DIARRA MPAKA ANACHEZA KAMA MCHEZAJI WA NDANI ULIKUWA HUONI AU??