Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejibu sawa sawa na hoja yako. Rudia kusoma nilyoquote.Jikite kwenye hoja ya msingi
Yanga ni timu nzuri, wamechaza game, wamekosa nafasi za kufunga.Dah ila hii yanga hii.....Nataman ata nijiue...Hivi timu yetu kumbe ndio mbovu kiasi hiki?
Hivi huwa wanatumia vigezo gani kupanga hizi mechi au draw ndio huamua?Zinaanzia nyumbani
Alicheza na nani mzee baba??Usidanganye, Simba ilipotolewa na jwanneng Galaxy ilianzia nyumbani na kumalizia ugenini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], taabu iko palepale.
Ndio maana naamini wanaweza kucheza viziuri na kufika mbali kwenye shirikisho.Yanga ni timu nzuri, wamechaza game, wamekosa nafasi za kufunga.
Red arrows tukamalizia Zambia na kuingia makundi CAFCCAlicheza na nani mzee baba??
Unafikaje mbali wakati hutumii nafasi? Yaani ufike mbali kwa kumiliki na kuchezea mpira bila malengo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio maana naamini wanaweza kucheza viziuri na kufika mbali kwenye shirikisho.
Hawajatengeneza nafasi yoyte...wamefanya shambulio lolote la maana kama yale ya Azam?Yanga ni timu nzuri, wamechaza game, wamekosa nafasi za kufunga.
Kucheza na kibonde wa NAMUNGO na kuijiona mko vizuri, kutawagharimu muda si mrefu.Unafikaje mbali wakati hutumii nafasi? Yaani ufike mbali kwa kumiliki na kuchezea mpira bila malengo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa nyie kimewagharimu nini ?Kucheza na kibonde wa NAMUNGO na kuijiona mko vizuri, kuwagharimu muda si mrefu.
Sio kwamba mnaonewa timu zote zilizotoka CAFCL zinaanzia nyumbani kumalizia ugenini ndio kanuni kumbuka ya simba mwaka janaNa si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia...
Yote sawa.Sio kwamba mnaonewa timu zote zilizotoka CAFCL zinaanzia nyumbani kumalizia ugenini ndio kanuni kumbuka ya simba mwaka jana
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Ombeni msikutane na Berkane au pyramidYote sawa.
Zitaanzia nyumbani zoteTimu zote zilizotoka CHAMPIONS LEAGUE ZITAANZIA UGENINI
Hivi utaratibu ni timu zilizotolewa kwenye Club Bingwa ndio zinakutanishwa kwenye play off au inakuwaje?
blessings in disguise ya niokooNa si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia..