Sitashangaa Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania anajua njia za kushika madaraka



Mungu wa kweli ndio atatupa Rais ajaye....watu hawaaminiki
 

Ataweza tu kama CCM wataendelea na huu mpango wao wa kuachiana madaraka. Ila kwa free nad fair election asahau. Na Chdema hawataachana na sera yao ya No Reforms No Election.
 
NCHI INAONGOZWA KWA DECREE KILA HATA ZUZU ATAKUWA KIONGOZI
 
Ina maana hii nchi ni ya kutawaliwa na wauaji wakati wote? Huyo alitahljwa rasmi kama muuaji, halafu eti awe Rais!! Laana gani itakuwa! Hawa wengine wamekuwa wauaji baada ya kuupata urahisi, sasa huyu amekuwa muuaji hata akiwa na cheo kidogo, akipewa madaraka makubwa unadhani ataua wangapi!
 
NYERERE
MWINYI
MKAPA
KIKWETE
Wote walionyesha nia mbona?????????????????????
ajali ilianza kwa jpm na sh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…