Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

Fact,nna wangu ana mizinga balaa! Kibaya zaidi nimempa na moyo sasa! ananiendesha kama mume bwege walah
 
Kuna shida anayo mleta mada

1.Hana mifumo ya kumuingizia Hela ndio sababu anawaza mambo ya ajabuajabu hivi.
2.Amekata Tamaa ya maisha.
3.Anatawaliwa-anaongozwa na mke wake ama mpenzi aliyenaye.

Kimsingi Mwanaume mwenye kipato Cha kutosha hawezi kukubaliana na mleta mada, Kwa sababu sisi tumeumbwa kuheshimiwa na Wanawake na sio kupendwa.
Mwanamke hajui kupenda, hapendi.

Na ukishakuwa na kipato Cha kutosha utakuwa na shauku mke kuwa nyumbani akikupikia, akifua, akiwalea watoto ambao ndio unajua ni waendelezaji wa jina lako na Mali.

Mleta mada kuna tatizo linamsumbua.

Ndugu zangu tufanye kazi usiku mchana kuhakikisha tunakuwa na mapato ya ziada, hakikisha unaoa Mwanamke ambaye Yuko tayari kuongozwa na wewe.

Anachofanya mleta mada ni ubaguzi unaofaa kupingwa, kwamba Mwanamke asiye na ajira haifai kuolewa.

Vipi ukamuoa na mwaka wa 5 akapata shida itayomzuia kufanya kazi?

Ni muhimu kuwa na uwiano wa mawazo unapoongelea jambo kama hili.
 
Pia, nyongeza, ikiwa utaoa Mwanamke anayefanya kazi, kuna uwezekano mkubwa zaidi ya 80% mtatalikiana, la sivyo utatangulia kufa utamuacha, chunguza utaniambia.
 
Kuna ukweli but, Anaweza akawa si tegemezi kwako ila ana watu wanaomfanya asiwe tegemezi kwako. Umakini unahitajika.

Binafsi naona uombe usipate malaya na akupende, awe hana au anazo.
 
Mkuu, ila wapo wanawake wana pesa na heshima. Namfahamu jamaa mmoja ni chalala mission town na mkewe ndo kila kitu linapokuja suala la pesa maana ni muajiriwa ila mke anamheshimu. Jamaa kamzalisha watoto wa kutosha si mvivu.
 
Mkuu, ila wapo wanawake wana pesa na heshima. Namfahamu jamaa mmoja ni chalala mission town na mkewe ndo kila kitu linapokuja suala la pesa maana ni muajiriwa ila mke anamheshimu. Jamaa kamzalisha watoto wa kutosha si mvivu.
Mkuu nakubaliana na wewe, wapo Wanawake wa aina hiyo.

Ila suala hili kuliweka kama kigezo Cha kuoa haifai.

Unajua sote tunaishi tayari tulishawekewa akili vichwani na Muumba, na daima Iko hivyo Mwanaume anoa Mwanamke aliyemchagua-aliyempenda, haijalishi anafanya kazi au la.

Ndio nikasema Mwanaume anaoa Mwanamke aliye tayari kuongozwa naye...
 
Reactions: Tsh
😀dah!
 
Hawajajua sisi hatuombi kidogo kidogo, sijui mjomba kameza shoka, pesa ya saloon mara gesi imeisha..!!
Tunaomba utatue kitu ambacho kina uhalisia na lazima upoteane km nyani mjane 🤣😹😹
😀jaman kwann jaman eti nyani majane!
 
Upo sahihi boss. Na mara nyingi mwanamke anataka kuongozwa, kutii, asipoongozwa na mumewe ataongozwa na bosi wake au mwanaume mwingine yoyote. So kama mwanaume huna control ya kiuongozi kwa mkeo jua kuna mtu anamuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…