Sitiri Aibu Yangu , Ili Nami Nije Kustiri Yako !

Afu we Mphamvu umeibukia wapi mazee ?
Mahudhurio yako hapa mjengoni mbona yamekua mabovu hivi ?
Nani alikuudhi tumshughulikie?
Au kuna n'chuchu alikunyima penzi tuandamane?
Refar ukisusa wenzio wagegeda!
 
Last edited by a moderator:
ndo hiyo nami nasemea bestito nadhani hujanielewa kabisa ngoja aje Bujibuji aisemee kidogo naona akiongea yeye utaelewa

Mmh!
Labda!
Manaake kila nikivuta mbukumbuku sipati jawabu .
Btw kwani ni nadhiri umeiweka hufahamishi mwenyewe , mpaka usemewe!
 
Last edited by a moderator:
Afu we Mphamvu umeibukia wapi mazee ?
Mahudhurio yako hapa mjengoni mbona yamekua mabovu hivi ?
Nani alikuudhi tumshughulikie?
Au kuna n'chuchu alikunyima penzi tuandamane?
Refar ukisusa wenzio wagegeda!
Nipo kaka, sema nimeona noma kuja na style ya uzi, nimeamua kuja kimya kimya. Mahudhuria yataanza kuwa mazuri muda si mrefu, mtafurahi wenyewe na roho zenu.
 
Last edited by a moderator:
Nipo kaka, sema nimeona noma kuja na style ya uzi, nimeamua kuja kimya kimya. Mahudhuria yataanza kuwa mazuri muda si mrefu, mtafurahi wenyewe na roho zenu.

Karibu tena!
Hivi kabla hujapotea uliacha hapa mjengoni , kuna wenyeviti wawili , kuna Rais , kuna Afisa usalama , wote wana'deal na mahusiano .
 
vuta kumbukumbu bestito utakumbuka tu niliwahi kuwa nanani hapa jamvini?
inabidi niwatumie watu ili uweze kuamini kuwa nilishawahi kuwa na ndoa hapa
muulize kiongozi wetu Baba V atakuambia habari zangu zaidi
Mmh!
Labda!
Manaake kila nikivuta mbukumbuku sipati jawabu .
Btw kwani ni nadhiri umeiweka hufahamishi mwenyewe , mpaka usemewe!
 
Last edited by a moderator:
bora umwambie hasa huyo kabla sijamchunguza kwa makini tu
Karibu tena!
Hivi kabla hujapotea uliacha hapa mjengoni , kuna wenyeviti wawili , kuna Rais , kuna Afisa usalama , wote wana'deal na mahusiano .
 
bora umwambie hasa huyo kabla sijamchunguza kwa makini tu

Haya Mphamvu! Vitendo pasipo ajizi !
Huyo ndo Chtcht state security officer !
Sijui atahitaji ufanye declaration ya wealthy unazomiliki , ama ma'wife unaomiliki, mie sijui .
 
Last edited by a moderator:
Haya Mphamvu! Vitendo pasipo ajizi !
Huyo ndo Chtcht state security officer !
Sijui atahitaji ufanye declaration ya wealthy unazomiliki , ama ma'wife unaomiliki, mie sijui .

Hivi vyeo naona siku hizi vinagawiwa tu, na huyo ni nani sasa?
 
Last edited by a moderator:
Kwanza napenda kutambua mchango wa kijana wangu Judgement kwen hili la.kusitiri aibu....ijapokuwa Mphamvu anadai doggy style ndio style.elekezi mi.napingana nayo...

Safi sana kijana.
 
Ankal Kaizer , ni bora umekatiza mitaa hii , kuhusu habari ya Mphamvu kwamba "doggystlye" ndiyo style ELEKEZI ! Pamoja na kua nielewavyo mie "doggystyle" ina umuhimu wake , lakini siipi nafasi ya ELEKEZI , naweza kuipa neno stlyle ENDELEVU !
Tia neno Majomba ktk hili .
 
Kijana wangu Judgement huyu Mphamvu kuna vijiwe anakatizaga na kukaa ndio vinamharibu, hawezi kabisa kudharau 'cockroach death" eti kwa
msala upitao' wa doggy style.....mbwa hawanaga aibu kabisa......wala adabu
 
Majomba nimekubali mtu mzima dhahabu!
"Cockroach assassinated" itabaki kua ELEKEZI .
Ni kama wenzetu wasukao nywele , mtindo "twende kilioni" ndy ELEKEZI na si kutia curl na reluxer .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom