Nipo kaka, sema nimeona noma kuja na style ya uzi, nimeamua kuja kimya kimya. Mahudhuria yataanza kuwa mazuri muda si mrefu, mtafurahi wenyewe na roho zenu.Afu we Mphamvu umeibukia wapi mazee ?
Mahudhurio yako hapa mjengoni mbona yamekua mabovu hivi ?
Nani alikuudhi tumshughulikie?
Au kuna n'chuchu alikunyima penzi tuandamane?
Refar ukisusa wenzio wagegeda!
Nipo kaka, sema nimeona noma kuja na style ya uzi, nimeamua kuja kimya kimya. Mahudhuria yataanza kuwa mazuri muda si mrefu, mtafurahi wenyewe na roho zenu.
Mmh!
Labda!
Manaake kila nikivuta mbukumbuku sipati jawabu .
Btw kwani ni nadhiri umeiweka hufahamishi mwenyewe , mpaka usemewe!
Karibu tena!
Hivi kabla hujapotea uliacha hapa mjengoni , kuna wenyeviti wawili , kuna Rais , kuna Afisa usalama , wote wana'deal na mahusiano .
Haya Mphamvu! Vitendo pasipo ajizi !
Huyo ndo Chtcht state security officer !
Sijui atahitaji ufanye declaration ya wealthy unazomiliki , ama ma'wife unaomiliki, mie sijui .
Sasa ingine ni ipi kaka...
Thanks too kiongozi as lon as changen ideas and events !