Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Moja ya sababu inayowafanya wengi washindwe kwenye maisha ni kutokuwa wawazi juu ya maisha yao.
Kama mwanaume zungumza kile kilicho ndani ya bajeti yako, na kisimamie. Halafu, yeye, kwa maamuzi yake ataamua afuate au vinginevyo.

Akifata, umewin. Asipofuata, umewin pia.

Men are winners in every situation. The challenge's how he react and accept the situation.

Satan
 

yeye anataka kusifiwa kwa kutekeleza mipango ya Malaya kmmke 🀣
 
unatoka date na executive committee unategemea nini? kimekulamba umejifunza
 
Mkuu wewe ungemtumpa mapema tu, bhn nimekuita date mimi na wewe sijaalika familia hapa.
 
Dawa yao ni nyepesi tuu,ulishindwa kuruka hata fense mkuu
Kwa malejent wa Arusha wanaikumbuka 77, tukio la hivi lilitokea, ilibidi kupita jikoni, shuka na kale kabonde na kwenda kutokea Kijenge ( Ziga Heritage), chezea wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…