Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Na tunataka Jagermasta kubwa na mguu wa mbuzi 🤣🤣
Tunda lipo vyedi lakini?
20250808_111310.jpg
 
Mkuu usibishe mbona mie nimeenda date nyingi na Wala sijawahi kukutana na huo ujinga na wengine walikuwa ni wanachuo mwamba hajapendwa huyo haina tofauti na mwanamke ambaye unaomba namba yake ya simu anakuambia bila elfu 20 hakupi wakati kwa wanaume wengine kwa huyo huyo mwanamke wanapewa bure
Mkuu kwni kupewa namba ndy kupendwa?
Unaweza ukapewa namba bure na ukipiga simu haipokelewi..na unaweza ukanunuwa namba na mapenz yakawa moto moto...tatizo lenu mnakariri mwanamke.,, mwanamke hana formula kwenye kumoenda mtu..
kama bado unatongoza usije ukadhani umeshamaliza kuona vituko vya wanawake..
Hayo mambo ya demu kuja na shoga yake kwenye first date yapo sn,,mimi binafsi nishakutana nayo sn tu..na ndy napenda aje na shoga yake nipinduwe meza
 
Mimi sijakuambia kupewa namba nikupendwa, ngoja nikupe Elimu kidogo naona ujanielewa mwanamke yoyote ukimuonesha interest ya kumtaka huwa ana mambo makuu matatu;
1. Anakupa nafasi, maana yake Nini? Anaweza akawa hajakupenda lakini anakupa nafasi umshawishi ili akupende na namba anakupa vizuri.
2.Amekukubali, love at first sight wakati unamuomba namba kaona una vitu ambavyo yeye anapenda atakupa namba but mazingira yako yatakuwa na utofauti na namba moja 1 niliyoeleza na hata no 3 nitakayoeleza mwanamke atakupa uwepesi wa kumpata bila hata kutumia nguvu kama no 1 na ndicho nimekuelezea kwenye huu Uzi.
3.kukukataa, Wanawake wengi wa Sasa hawawezi kukukutaa moja kwa moja kwa kukuambia mdomoni badala yake wana mbinu za kumkataa mtu moja kwa moja, atakuambia namba yangu nakupa kwa kiasi fulani yeye anajua akikujibu hivyo moja kwa moja hautamsumbua tena so kuendelea kwako ni at own risk, pili atakuja na mashoga zake maana yake ni kwamba kakutaa lakini ukiweza kuruka hizo viunzi itabidi akutumie kimaslahi but reality moyoni hakupendi pesa zako zikiisha na yeye humuoni as long as utumie nguvu kubwa kupita kiasi.

NB: Wanaume wengi wanateswa na mapenzi ni kwasababu wanapuuza red flags za mwanzoni Mimi binafsi siwezi kutumia nguvu kubwa kumpata mwanamke nikiona haelekei maana ukiforce kuwa na mwanamke wa aina hiyo utaenda kuwa na uhusiano wa upande moja.Tumia gharama kubwa kwa mwanamke wa kugonga ila sio yule ambaye unataka kuwa kwenye mahusiano nae.
 
Mimi sijakuambia kupewa namba nikupendwa, ngoja nikupe Elimu kidogo naona ujanielewa mwanamke yoyote ukimuonesha interest ya kumtaka huwa ana mambo makuu matatu;
1. Anakupa nafasi, maana yake Nini? Anaweza akawa hajakupenda lakini anakupa nafasi umshawishi ili akupende na namba anakupa vizuri.
2.Amekukubali, love at first sight wakati unamuomba namba kaona una vitu ambavyo yeye anapenda atakupa namba but mazingira yako yatakuwa na utofauti na namba moja 1 niliyoeleza na hata no 3 nitakayoeleza mwanamke atakupa uwepesi wa kumpata bila hata kutumia nguvu kama no 1 na ndicho nimekuelezea kwenye huu Uzi.
3.kukukataa, Wanawake wengi wa Sasa hawawezi kukukutaa moja kwa moja kwa kukuambia mdomoni badala yake wana mbinu za kumkataa mtu moja kwa moja, atakuambia namba yangu nakupa kwa kiasi fulani yeye anajua ukikujibu hivyo moja kwa moja hautamsumbua tena so kuendelea kwako ni at own risk, pili atakuja na mashoga zake maana yake ni kwamba kakutaa lakini ukiweza kuruka hizo viunzi itabidi akutumie kifedha but reality moyoni hakupendi pesa zako zikiisha na yeye humuoni as long as utumie nguvu kubwa kupita kiasi.

NB: Wanaume wengi wanateswa na mapenzi ni kwasababu wanapuuza red flag za mwanzoni Mimi binafsi siwezi kutumia nguvu kubwa kumpata mwanamke nikiona haelekei maana ukiforce kuwa na mwanamke wa aina hiyo utaenda kuwa na uhusiano wa upande moja.Tumia gharama kubwa kwa mwanamke wa kugonga ila sio yule ambaye unataka kuwa kwenye mahusiano nae.
Sawa mkuu,,
 
Mwanafunzi wa msingi au upili?

Kutongoza mwanafunzi ni kosa? Au kumkula ndiyo kosa?
Alikuwa form 3 , ni kosa yule ni mtoto ana maamuzi kwaiyo sheria inakutia hatian kumrubuni unakula umeme kadhaa na meseji zilikuwepo za ushaidi ndo maana walimkanya na kumtoza fedha ili iwe fundisho na liishie pale
 
We nzio uwa akisema anakuja n rafik yake na sisi tunaenda na rafik zetu tukifika kwenye meza kila mtu anajichagulia wake wa maisha bills inachagwa inalipwa kila moja anaenda kulala na wakwake
 
We nzio uwa akisema anakuja n rafik yake na sisi tunaenda na rafik zetu tukifika kwenye meza kila mtu anajichagulia wake wa maisha bills inachagwa inalipwa kila moja anaenda kulala na wakwake
Wakati anakuja hakuambii anakuja na shoga zake
 
We nzio uwa akisema anakuja n rafik yake na sisi tunaenda na rafik zetu tukifika kwenye meza kila mtu anajichagulia wake wa maisha bills inachagwa inalipwa kila moja anaenda kulala na wakwake
Hawasemi. Ni mwendo wa kushtukizana tu
 
Wewe si ulisema umewahi kukutana na hiyo hali ndio nimekuuliza huyo manzi ulifanikiwa kumla
Mara nyingi tu,,tena akija na shiga yake amenipa nafasi ingine kumchanganya yeye na shoga yake..
Mbinu tu mkuu..
 
Back
Top Bottom