Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Namie kumuelewesha mgeni kwenye game ndio sitaweza!Nimeshavuka huo umri mkuu!
Mwambie yule mwamba mbishi haya uliyoandika...

U.T.I inayopatikana hapa kupona labda umeze hospital
Na wagonjwa au?U.T.I inayopatikana hapa kupona labda umeze hospital
Mpaka madoctor ukiongeza na wale wanaokuja kuombea wagonjwaNa wagonjwa au?
Kunywa mitishamba imix yote..Mpaka madoctor ukiongeza na wale wanaokuja kuombea wagonjwa
Acha kibaya huu ugonjwa kuukwepa kwa zama hizi ni inshu sana kati ya 4 basi wawili wanao ila unatofautiana makaliKunywa mitishamba imix yote..
Nyie mnapataje mbona mimi nina miaka sijaupata! Mimi hiki kitu hakiniingii!Acha kibaya huu ugonjwa kuukwepa kwa zama hizi ni inshu sana kati ya 4 basi wawili wanao ila unatofautiana makali
Sina experience nao ila katika mazingira naona vijana na wazee ukiwatesa ukizingatia dalili zake kwa mwanaume huonekana mapema sana kuliko jinsia keNyie mnapataje mbona mimi nina miaka sijaupata! Mimi hiki kitu hakiniingii!
Unamuacha kabla ya kupiga wakati kakutia hasara piga kwanza ebooNiaje wakuu?
Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni.
Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa, hapana! Tatizo langu lilianza pale nilipoamua kufanya majaribio ya kutongoza mtoto wa mtu mjini hapa
Zamani nilikuwa najiambia, "Mimi ni mwanaume, lazima nionyeshe msisimko wa mfuko." Nikajifanya mwamba. Nikakutana na binti mmoja mrembo ambaye picha zake za mitandaoni zinasema kabisa yeye ni wa hadhi ya juu.
Ili nionekane najiweza, nikamualika mtoko wa kwanza (first date). Kilichofuata kilikuwa ni somo la maisha ambalo sitasahau.
Siku ya miadi, binti alikuja. Lakini hakuja peke yake; alikuja na "mashoga zake wawili" ambao walikuwa na njaa kama wametoka vitani.
Tulipofika sehemu ya chakula, mimi nilitegemea tutaagiza vitu vya kawaida tu vya kueleweka. Lakini wapi! Walianza kutaja majina ya vyakula vya Kizungu ambavyo hata kuvitamka siwezi, pamoja na vinywaji vinavyoletwa vikiwa vimepambwa kwa matunda na maua juu yake.
Kila agizo lilipotua mezani, nilikuwa napiga hesabu ya haraka haraka kichwani. Jasho jembamba lilianza kunitoka chini ya kiyoyozi. Wakati bili inakuja, macho yangu yaliona ukungu. Kiasi kilichopo kwenye ile karatasi kilikuwa kirefu kuliko bajeti yangu ya mwezi mzima!
Ili kulinda heshima yangu na isionekane nimeishiwa, ilibidi nianze kufanya sarakasi za kukopa kwa dharura kwenye vikundi na App za mikopo ya haraka huku nikiwa nimejifungia chooni.
Nililipa ile bili kwa uchungu mkubwa, nikawalipia na usafiri wa kurudi kwao, kisha nami nikarudi kwangu nikiwa mnyonge kama kuku aliyenyeshewa mvua.😁
Kufika nyumbani, nikajisemea "Inatosha." Kesho yake binti akanitumia meseji: "Asante kwa jana dear,tulienjoy sana. Wikiend hii tunaenda wapi tena?" Nilichofanya ni kuifuta ile namba, kisha nikakaa chini na kutafakari maisha yangu
Niliamua kuchukua uamuzi mgumu lakini wa busara kwa usalama wa akili yangu na pochi yangu. Kuanzia leo, nimejitoa rasmi kwenye mashindano ya kutafuta mapenzi ya gharama.
Akili yangu yote sasa hivi nimeielekeza kwenye kutafuta pesa na kujenga maisha yangu kwanza.
Duh! Punguzeni uzinzi jamani, au tumieni kinga, kuweni na mwenza mmoja sio sifa kusuuza rungu kila kona! Waafrika na ngono ptuuu!!Sina experience nao ila katika mazingira naona vijana na wazee ukiwatesa ukizingatia dalili zake kwa mwanaume huonekana mapema sana kuliko jinsia ke
Maisha kama mtihani uki copy majibu ya mtu tegemea kupata matokeo kama yake bila kujali niya ufauru au kuferi 😂😂😂😂 pole wakati mwingine ishi maisha yako wahenga walisha sema kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake😂😂😂Niaje wakuu?
Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni.
Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa, hapana! Tatizo langu lilianza pale nilipoamua kufanya majaribio ya kutongoza mtoto wa mtu mjini hapa
Zamani nilikuwa najiambia, "Mimi ni mwanaume, lazima nionyeshe msisimko wa mfuko." Nikajifanya mwamba. Nikakutana na binti mmoja mrembo ambaye picha zake za mitandaoni zinasema kabisa yeye ni wa hadhi ya juu.
Ili nionekane najiweza, nikamualika mtoko wa kwanza (first date). Kilichofuata kilikuwa ni somo la maisha ambalo sitasahau.
Siku ya miadi, binti alikuja. Lakini hakuja peke yake; alikuja na "mashoga zake wawili" ambao walikuwa na njaa kama wametoka vitani.
Tulipofika sehemu ya chakula, mimi nilitegemea tutaagiza vitu vya kawaida tu vya kueleweka. Lakini wapi! Walianza kutaja majina ya vyakula vya Kizungu ambavyo hata kuvitamka siwezi, pamoja na vinywaji vinavyoletwa vikiwa vimepambwa kwa matunda na maua juu yake.
Kila agizo lilipotua mezani, nilikuwa napiga hesabu ya haraka haraka kichwani. Jasho jembamba lilianza kunitoka chini ya kiyoyozi. Wakati bili inakuja, macho yangu yaliona ukungu. Kiasi kilichopo kwenye ile karatasi kilikuwa kirefu kuliko bajeti yangu ya mwezi mzima!
Ili kulinda heshima yangu na isionekane nimeishiwa, ilibidi nianze kufanya sarakasi za kukopa kwa dharura kwenye vikundi na App za mikopo ya haraka huku nikiwa nimejifungia chooni.
Nililipa ile bili kwa uchungu mkubwa, nikawalipia na usafiri wa kurudi kwao, kisha nami nikarudi kwangu nikiwa mnyonge kama kuku aliyenyeshewa mvua.😁
Kufika nyumbani, nikajisemea "Inatosha." Kesho yake binti akanitumia meseji: "Asante kwa jana dear,tulienjoy sana. Wikiend hii tunaenda wapi tena?" Nilichofanya ni kuifuta ile namba, kisha nikakaa chini na kutafakari maisha yangu
Niliamua kuchukua uamuzi mgumu lakini wa busara kwa usalama wa akili yangu na pochi yangu. Kuanzia leo, nimejitoa rasmi kwenye mashindano ya kutafuta mapenzi ya gharama.
Akili yangu yote sasa hivi nimeielekeza kwenye kutafuta pesa na kujenga maisha yangu kwanza.
Pipi hailiwi na maganda punguza ushauriDuh! Punguzeni uzinzi jamani, au tumieni kinga, kuweni na mwenza mmoja sio sifa kusuuza rungu kila kona! Waafrika na ngono ptuuu!!
Umepata wapi picha yetu ya jmos 😂😂😂😂😂
Hmm ukizikwa na kilo mbili utakumbuka haya!Pipi hailiwi na maganda punguza ushauri
Mwambie shemeji hatujala tuko sita🤣👋🏼Umepata wapi picha yetu ya jmos 😂😂😂😂😂
Ntaoza tuHmm ukizikwa na kilo mbili utakumbuka haya!
Kama ulivyosema awali, Mwanaume ndiye muamuzi wa kila jambo.Usikubali mwanamke aku'dictate kwenye swala la wapi mka'spend na kuwekana.
Uwezo wako ni chakula na vinywaji 100k, lodge 50k. Mdada anakuambia muende 5* hotel na wewe kibwege unakubali, unamuweka huku akili inawaza pesa unazounguza..
Ushamba huo.
Najua mzee mwenzangu wewe upo vizuri maana toka mwaka 47 umeruka viunzi vingi.