Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Asikuchoshe😅Alitaka kuniua huyu mpuuzi!
Asikuchoshe😅Alitaka kuniua huyu mpuuzi!
Mkuu,Endelea kutongoza mkuu,,utakutana na vingi,,
Sometimes mwanamke anaingia woga Kwa mwanaume hamjuwi,, sometimes analeta shoga zake wakufanyie valuation kama unafaa au hamnazo..
Usikariri mkuu , utakuja kukosa mtoto wa maana sababu ya experience ya watu wengine..
Hyo ni kawaida mkuu,,hata hyo aliyepewa namba bure kuna sehem anasumbuliwa..Wewe umeambiwa hivyo bila kiasi fulani hakupi namba wakati Kuna mwamba mwingine kapewa namba Bure hivi unafikiri mtakuwa na mzani sawa?
Kwahyo hutaki kufanyiwa valuation na mashemeji?Mkuu,
We jamaa wa ajabu sana. Naona huishi kutetea mwanamke kubeba mashoga zake kwenye first date. Yani ghafla unakutana na wadada wanne wakati mlikubalina mkutane wawili, that's rubbish.
Achana na huo ushamba! Au na wewe ni msukuma?
Kwahiyo hapo mama unachukua lipiAnhaa nishaujua huu mchezo, ngoja!
Basi Mwamba wewe Baki na mtazamo wako nami nibaki na mtazamo wanguHyo ni kawaida mkuu,,hata hyo aliyepewa namba bure kuna sehem anasumbuliwa..
Ila mwanamke anayetaka pesa kwa namba ya simu ni njia ya kumpata,,na kuna wenzio hata nafasi ya kununuwa namba hawapewi.
Kwahyo hutaki kufanyiwa valuation na mashemeji?
Ndio umekuja kunianika humu?😪Hamchelewi
🤣🤣🤣Weekend ijayo tukukute wapi best 😋
Mleta mda vp hao mabinti walikua wamepaka na breach kichwani?
Valuation tena😆😆Hyo ni kawaida mkuu,,hata hyo aliyepewa namba bure kuna sehem anasumbuliwa..
Ila mwanamke anayetaka pesa kwa namba ya simu ni njia ya kumpata,,na kuna wenzio hata nafasi ya kununuwa namba hawapewi.
Kwahyo hutaki kufanyiwa valuation na mashemeji?
Sasa space imekukosea nini😂Ndio umekuja kunianika humu?😪
Valuation report 😎Valuation tena😆😆
Nifanyiwe valuation na mashemeji, badala yake nitawakagua!!Valuation report 😎
Sometimes mashemeji wanahitaji kujiridhisha kama jamaa ni mtu kweli au hamnazo..Valuation tena😆😆
Unaachaje sasa kwa mfano!Nifanyiwe valuation na mashemeji, badala yake nitawakagua!!
Yaani uniletee mashoga zako, nitachagua mmoja mkali namuweka vizuri, najua wanawake wa namna hiyo hawakataiUnaachaje sasa kwa mfano!
Unamuweka vizuri aje? Kumlisha ashibe,Kumuhudumia au kumlomba?Yaani uniletee mashoga zako, nitachagua mmoja mkali namuweka vizuri, najua wanawake wa namna hiyo hawakatai
Chagua moja kati ya hizo tatu!!Unamuweka vizuri aje? Kumlisha ashibe,Kumuhudumia au kumlomba?
Mwanamke kama kakuelewa hawezi kuja na shost yake hata iweje! Kwahiyo we lomba tu baba.. tena fuata mtririko!Chagua moja kati ya hizo tatu!!
Nimeshavuka huo umri mkuu!Mwanamke kama kakuelewa hawezi kuja na shost yake hata iweje! Kwahiyo we lomba tu baba.. tena fuata mtririko!