Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Sijajua Jinsi ya kuweka link nieleze niubandikeWewe ndio umemaliza kila kitu nipe link ya huo uzi wako nipitie
Sijajua Jinsi ya kuweka link nieleze niubandikeWewe ndio umemaliza kila kitu nipe link ya huo uzi wako nipitie
Hata Mimi mwenyewe nashangaa kipindi hiki ukiona demu haelekei achana nae tofauti na hapo utaenda kulia huko na bahati nzuri wakati wasasa demu kama hakuelewi anakuonesha kabisa ni wewe tu uamue ukaze fuvuMmmh, hakuna kushawishi siku hizi, kama bado unatumia nguvu nyingi kushawishi ili avue basi kuna shida mahali. Soma.mchezo, ukiona ni hard to get achana nae, mambo ya kushawishi tulifanya sisi in early 2000 huko.
Uliweka siku gani? Ni mwaka huu huuSijajua Jinsi ya kuweka link nieleze niubandike
Mtego huo mjukuu, unataka niseme milioni 1 halafu vijana waanze kunipiga mawe Babu yaoElf 50 tu babu aaaaah nyege si zitakata jamani
Dawa nzuri sanaHakuchanga karata zake vizuri tu!
Kuna rafkiangu mmoja aliitwa na mwenzie kuwa kuna mubaba wa geita anakuja mwanza waende wakale dinner!
Wakaenda wote wakafika wakaagiza kama unavyojua wadada wa mjini, mwenye martini rose, mwenye vsop, makuku sijui nini na sehemu ni expensive, na walienda jopo!
Yule baba akawa anaenda kaunta kila mara, baadae akawaambia simu yake inazima ameweka charge kaunta, na kuna mwenzie anakuja hivyo wamuazime simu ampigie kumuelekeza wakampa iphone
👁
👀
alipotoka kuongea na cm ndio byebye
Aisee kumbe yule dada hata bwana hamjui wameokotana online tu, haya mambo ya kujianika mitandaoni, akatongozwa akatambulishwa mzee ni wa madini lols, waliacha cm kaunta walijikusanya mpaka bill ikalipwa mwenye kupiga cm mwenye kukopa! Hawakurudia!!🙌🏾
Ukiona unatumia gharama kubwa kumpata mwanamke inabidi ujitafakari mara mbili mbiliIzo mbanga tuachie sisi endelea kutafuta pesa.!!
Nmewahi kudate na pisi moja ya argentina ilikua ni flight attendant aisee ilikaa mwezi mzima nilpokuja kupiga hesabu nilzotumia zilikua zaidi ya 30m za kitanzania. Ile pisi ilikua imenyooka sana sijutii chochote
Mbona wengine hatujakutana na hiki kitu nafikiri huyo manzi hajampenda huyo mshikaji, Mwanamke ambaye anakupenda hawezi kufanya hichi na hata yule anaweza hajakupenda lakini anakupa nafasi ya wewe kumshawishi pia hawezi kufanya hivi, wanaofanyiwa hivyo ni wale ambao hawana nafasi kabisaHapana mkuu sometimes mwanamke at first date anakuja na rafiki yake ni kwa sababu labda hajiamini au hakuamini,,ana hofu labda anaweza akazidiwa na ulevi ukambeba ,yule mwenzio ni kama mlinzi wake..
Shida hapa ni matumizi ya fujo na kukupa bili kubwa...sio kuja na mwenzie at first date..
SidhaniHapana huo ni mkataba kwamba Yuko chini yako
Huyo jamaa nae hapo fala tuuUkiona unatumia gharama kubwa kumpata mwanamke inabidi ujitafakari mara mbili mbili
Hapana basi tu anajipangia mipango bila kumshirikisha mtuhumiwa!Muosha uoshwa kwani anakua kalazimishwa
Alitaka kuniua huyu mpuuzi!Sasa huyu anaandikaje mtu unasoma unshindwa kupumua
Si tumekubaliana mwanamke anahitaji matunzo au ? Ukisha toa chini unastaili matunzo sasa chin hutaki kutoa na matunzo unataka agayaaaSidhani
Kula tu tayari kaitwa malaya jamani 😆Binafsi naona huyo malaya yupo sahihi kufanya alichofanya.
Jamaa kajitambulisha ni msukuma?Yuko vizuri huyo Demu Hana shida, kwani alishamsoma huyu Msukuma Mshamba Tu, kwa sababu mtu anapotoka mpaka anakuja ushajia anakuja Peke yake au na Marafiki, sasa inakuwaje Mtoto jamaa anashtukizwa? Demu mjanja, hizo hele alizopata posho ya Mwenye amegawana na wanyonge wa uswazi
Ww ukiitwa na mwanaume kwenda kula, utaenda pekee yako au na rafiki zako?Kula tu tayari kaitwa malaya jamani 😆
Mkuu wanawake wapo wa aina nyingi sn,,Mbona wengine hatujakutana na hiki kitu nafikiri huyo manzi hajampenda huyo mshikaji, Mwanamke ambaye anakupenda hawezi kufanya hichi na hata yule anaweza hajakupenda lakini anakupa nafasi ya wewe kumshawishi pia hawezi kufanya hivi, wanaofanyiwa hivyo ni wale ambao hawana nafasi kabisa
Sijawahi kwenda na mtu, hebu ngoja nije nijaribu😁Ww ukiitwa na mwanaume kwenda kula, utaenda pekee yako au na rafiki zako?
Mkuu kama unasubiri mwanamke akupende basi unasafari ndefu sana kwenye mapenzi..Mwanamke anayekupenda hawezi kukufanyia hivyo hata kidogo ukiona unatumia nguvu kubwa kumpata tena kwa gharama ujue huyo sio kwaajili yako hata kama utanikiwa kuwa hautakuwa mwenyewe