mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Hapana mkuu sometimes mwanamke at first date anakuja na rafiki yake ni kwa sababu labda hajiamini au hakuamini,,ana hofu labda anaweza akazidiwa na ulevi ukambeba ,yule mwenzio ni kama mlinzi wake..Dwa ya kudeal na Mwanamke wa aina yoyote be it from Masaki, Obay au Tandika, sema Tu Sina bajeti kubwa, na chakula au kinywaji chagua wewe, mwanzoni utaogoa kuachwa lakini huo ndio Wanaume na utakapoweza Tu kujisimamia utauona kabisa huyo Demu hatkuach kwa sababu hiyo.
Soma Uzi wangu wa " Wanawake wanaojiita Hugh class"
Ukiona Msichana anakula mashoga zake wake watafune jasho lako bila wewe kuwaalika ujue amekudharau sana, na kabla hawajaja wameshakujadili kuna Fala mmoja mejichanganya twende kumkomesha🤣🤣
Shida hapa ni matumizi ya fujo na kukupa bili kubwa...sio kuja na mwenzie at first date..