mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Kwangu sioni kama shida ni high bills, shida ni huo ulimbukeni. Sijaita kijiji, unaniletea kijiji cha nini, tuna mazungumzo ya wawili, unakuja na mob ya nini, unataka kunionyesha nini. Mwisho nitachukua namba ya rafiki yako nimuweke na wewe ukae pembeni, si umenionyesha visu zaidi yako?
Mkuu, kama mtu hayupo huru na wewe ni bora asije kabisa, kama kachukua maamuzi ya kukutana na wewe lakini anaogopa, mwambie asije, usifosi vitu ili kjjitutumua.
Kwanza nani kakuambia wadada wa kizazi hiki wanaogopa?
Mleta post analalamikia high bills.Kwangu sioni kama shida ni high bills, shida ni huo ulimbukeni. Sijaita kijiji, unaniletea kijiji cha nini, tuna mazungumzo ya wawili, unakuja na mob ya nini, unataka kunionyesha nini. Mwisho nitachukua namba ya rafiki yako nimuweke na wewe ukae pembeni, si umenionyesha visu zaidi yako?
Mkuu, kama mtu hayupo huru na wewe ni bora asije kabisa, kama kachukua maamuzi ya kukutana na wewe lakini anaogopa, mwambie asije, usifosi vitu ili kjjitutumua.
Kwanza nani kakuambia wadada wa kizazi hiki wanaogopa?
Na kama isingekuwa high bills asingefunguwa uzi huu...
First date wapo wanawake wengine hawapo huru,,
Kama maongezi mtamaliza kwenye chat za simu.
Hyo tushazoea kwa wale wakali wa totos,yote hayo yanatokea sn tu..
Sometimes mwanamke anakuja na mwenzie kama kuja kujiridhisha kwamba wewe ni mwanaume wa aina gani?
So hyo ni kawaida sn mkuu,kama hawana bills kubwa..