Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Attachments

  • downloadfile-46.jpg
    downloadfile-46.jpg
    30.7 KB · Views: 8
Kama kuna malipo hapo sawa, msosi tu ndio tuletewe ushetani, kwani siku zingine huwa tunakula wapi?
Itoshe ukialikwa nenda mwenyewe ikibidi agiza maji tu kupunguza bajeti nauli utajilipia
 
Mkuu wanawake wapo wa aina nyingi sn,,
The more unatongoza the nore you experience tabia za wanawake,,
Endelea kutongoza utakutana na vikwazo vya wanawake vya kila aina..
Kuna wanaume hawajakutana na mwanamke bikra mwenye 30 ages,,ila wapo so ,huwezikusema bikra hakuna kwa umri zaidi ya 30..
Pambania ulichokutana nacho,,mimi nishakutana nazo sn tu,,ila sababu ni mkora kwenye sekta hyo nilipata ushindi pamoja na kuja na mashoga zake kwenye on first date.
First date kuja mashoga zakee ni dalili za kukudhara unless yawe ni makubaliano yenu
 
Itoshe ukialikwa nenda mwenyewe ikibidi agiza maji tu kupunguza bajeti nauli utajilipia
Sasa unaniitia nini kama huwezi kununua chakula au kinywaji, nilipotoka hakuna maji? Kama huna pesa eleza shida yako kwenye simu aisee..
 
Yes, hili ndo jibu.
Sasa red flag ya malaya moja wapo ndo hy kuitwa yeye then anabeba kikundi cha malaya wenzake
Malaya wenzake waje kufanya nini sasa, labda walikuwa na njaa tu jamanišŸ˜†
 
Sasa unaniitia nini kama huwezi kununua chakula au kinywaji, nilipotoka hakuna maji? Kama huna pesa eleza shida yako kwenye simu aisee..
Wewe huwezi kujiongeza ukaanzisha mwenyewe kuchafua meza
 
Back
Top Bottom