Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pole bana nacheka kama mazuri vile.

Usikate tamaa tafuta wa hadhi yako tu kiongozi
 
Pole wengi tumepitia hali hiyo tofauti ni ukubwa wa tukio tu
 
Hasomeshwi,hapewi pesa,anaepaswa kula pesa zako ni,,,,aliyekuzaa anaitwa mama,,,,,,,,uliyezaliwa nae anaitwa dada,,,,,,aliyezaliwa kwaajili yako anaitwa mke,,,,,,,aliyemzaa mke wako anaitwa binti yako,,hao ndio wanapaswa kula pesa zako, mambo yakigoma muache aende zakee,,,,,

Bora kuvunja uchumba,kuliko kuvunja ndoaπŸ“Œ
Msinifokee ninakohoa.
 
πŸ™†β€β™€οΈ πŸ€” Aisee!!!
 
We hatutakupa uanachama wa chama chetu. Yaani unapata upenyo wa kwenda msalani afu unashindwa kuutumia vizuri. Kwani kwenu hakuna vyoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…