shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
Habari wadau.
Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali.
Dah! MUNGU saidia akafuzu.
Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban kiukweli wiki moja imekuwa ngumu kwangu simu niliona kopo bila ya JF. Nimegundua JF ni ulevi kabisa .
Nasema hivi sitokujakuomba ban tena hii kazi namuachia Laban OG