Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kuomba ban sasa inatosha. Mechi ijayo muahidi kutatuliwa marinda
Acha matusi mkuu hayasaidiiUsiombe ban omba upelekewe moto.Kwani ndio zenu hizo kuweka ahadi.
Acha matusi mkuu hayajengiKuomba ban sasa inatosha. Mechi ijayo muahidi kutatuliwa marinda
Hawa huwa wanasahau kama Dunia ni ya Mungu?Mnajitoaga akili.
🤣🤣🤣😂🤣😂😂😁🤣🤣😄😄 Eti zubeda kiunoMwenzako anayo ID nyingine anajiita Zubeda Kiuno akifungiwa kwenye hiyo I'd anaenda huko uzubedani
ni mapito tu ilb poleMzee sitorudia maana nina id moja
Halisikii dawa
Daaah mkuu mbna unasaliti Chama..... vumilia tu....Kuna ups and down nyingi kwenye hii carrier yetu[emoji23][emoji23][emoji23]Habari wadau.
Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali.
Dah! MUNGU saidia akafuzu.
Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban kiukweli wiki moja imekuwa ngumu kwangu simu niliona kopo bila ya JF. Nimegundua JF ni ulevi kabisa .
Nasema hivi sitokujakuomba ban tena hii kazi namuachia Laban OG
Si kweli...labda gentaLaban ,Nalia ngwena na Genta wana multiple id's sasa wewe waige