Sitoomba tena kupigwa ban, hii kazi namuachia Laban OG

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
1,570
Reaction score
3,129
Habari wadau.

Poleni na majukumu ya kujenga taifa.

Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali.

Dah! MUNGU saidia akafuzu.

Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban kiukweli wiki moja imekuwa ngumu kwangu simu niliona kopo bila ya JF. Nimegundua JF ni ulevi kabisa .

Nasema hivi sitokujakuomba ban tena hii kazi namuachia Laban OG
 
Kibumbu kitachemmka!
 
Wenzio Wana fake IDs zaidi ya 10 wanawachora tu Mods, unadhani ni rahisi namna hiyo kila siku wawe wanaomba ban?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mfukuzwe kabisa wote wenye akili za kiutopolo
 
Nyie si matahira, na mtapigwa ban hadi mkome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…