Sitoomba tena kupigwa ban, hii kazi namuachia Laban OG

Mwenzako anayo ID nyingine anajiita Zubeda Kiuno akifungiwa kwenye hiyo I'd anaenda huko uzubedani
 
MODS, rekebisheni heading, badala ya neno "sitoomba" sahihi andikeni "sitaomba". Kwanza sitoomba ukitamka haraka haraka kuna ladha ya tusi fulani inakuja kuja hivi...
 
Mwenzako anayo ID nyingine anajiita Zubeda Kiuno akifungiwa kwenye hiyo I'd anaenda huko uzubedani
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„ Eti zubeda kiuno
 
Akili imekukaa sawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daaah mkuu mbna unasaliti Chama..... vumilia tu....Kuna ups and down nyingi kwenye hii carrier yetu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…