Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

Kuna watu wanavyompalua mtoa mada utasema wao ni malaika.

Ni kweli jamaa amezingua kutojali afya akienda kufunga loose ball aliyoiokota.

Wanawake wana uwezo wa kukaa na maradhi hasa ya Gono/ UTI hata Kaswende muda mrefu pasipo kuonekana, hivyo hata kama angesema ampime Ngoma isingetosha kumwepusha na hayo mengine.

Labda angevaa Kondom, lakini mkumbuke kuna baadhi ya Wanaume ni wapenzi wa dry anbao wengi ndiyo huangukia kwenye hizo changamoto.

Ili kujiepusha na hizo changamoto ni vyema mtoa mada aoe au apate mpenzi ambaye atamfanya kupunguza tamaa. Mazingira yake yalimfanya ategwe na aanguke kirahisi, angekuwa na mpenzi ndani huyo mke wa mtu asingemu-win jamaa
 
Mkuu yule mke wa mtu Bado mbichi na anakatoto kamoja na ana chura na nilikuwa nimepiga vibia kadhaa na yeye pia na hata alivyokuja sikuwa naogopa alivyoingia ndani ,nikaona mbuzi kafia kwa muuza supu Acha nijilie mie ,,,kumbe ndiyo najiletea balaa kingine ila nimekoma
 
Jirani mm nilijua unaukorofi kwenye mipaka ya mashaba pekee,kumbe na wake zetu unatukanyigia!?
 
Mke wa mtu anajiles ivo na ni ugenini na wewe unapiga kavu, aisee we jamaa una hatari.
 
sasa itakuwa vizuri umwambie jamaa mwenye mke naye aende yeye na mkewe wakapate matibabu.
 
Mke wa mtu anajiles ivo na ni ugenini na wewe unapiga kavu, aisee we jamaa una hatari.
Mkuu Ile chura kwani mie niliwaza kama atakuwa anaumwa Mimi nilihonga tu plus na bia zilikuwa kichwani nikaichakata sana, ila baada ya siku mbili nikaanza kuchoma masindano
 
Watajuwana wenyewe huko na mke wake Mimi nishajitibu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…