zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
huenda ujanani tulikuwa na hulka sawa mzee mwenzanguKipi kilifanya utekwe na huyo Mama mtu mzima?
Ingekuwa amekuzidi miaka 5 hadi 10 sio mbaya, lakini iwe kwa mechi za kirafiki tu, sio kwenda kumtambulisha kama mpenzi wako/mke mtarajiwa
Niliwahi kudate Dada mzima, ambaye alinipita miaka 12 hivi ama zaidi, I was 29 and she was 41 or 42
Sitaki kurudi lile kosa, huwa wagumu kukuachia maana umri huo wewe una nguvu. Na Mwanaume mwenye nguvu anapendwa sana maana anafanywa machine
Wewe ulinishinda, hadi ukataka umtambulishe?huenda ujanani tulikuwa na hulka sawa mzee mwenzangu
Hii stori kama ni ya kweli aiseee Nimecheka sana kwenye Daladala ya kutoka haw Moro kwenda dumilahabarini... maisha hayaaa...
ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile.
bimkubwa ameinama chini anafuta machozi.
sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko mimi... alinizidi like 18 years... na walikuwa wanajuana na mama.. mimi sikujua before
kilichofuata tukaondoka kwa aibu wote... ila sikutaka kumuacha.. ndoa ikafeli.
imepita miaka mingi sana sasa. uzee umeshatia kambi
Mzee wake ana busara Sana, aliangaliaa? Akageuza Jicho huku na huku akaingia chumbani hakurudi tena, akasema moyoni Mambo ya kipuuzi haya nimezaa Ng'ombe hapaUmemaliza? baeleze ulikoleaje...
Hahahhhhh aaaaaahahhhhh mpaka mbavu zimeuma!Mzee wake ana busara Sana, aliangaliaa? Akageuza Jicho huku na huku akaingia chumbani hakurudi tena, akasema moyoni Mambo ya kipuuzi haya nimezaa Ng'ombe hapa
Mimi nimekumisi rewind hiyo scenario mpaka sas bado ncheka Tu, Mama Mzazi kajiinamia anafuta machozi tuNimecheka sana tena sana
USSR
Una uhakika tukimuuliza atasema kweli uliipig inavyotakiwa?Wamama wanaachia mbunye balaa.mm kuna siku nilipata mechi ya kirafiki na mother hivi aliye nizidi na miaka 20 nanilipiga mbaya.
ni ya kweli kabisa.. inanihusu mimi.. back in the years ago.Hii stori kama ni ya kweli aiseee Nimecheka sana kwenye Daladala ya kutoka haw Moro kwenda dumila
Sio wote lakiniWamama wanaachia mbunye balaa.mm kuna siku nilipata mechi ya kirafiki na mother hivi aliye nizidi na miaka 20 nanilipiga mbaya.
tatizo ni fantasy.. mimi mabinti wa rika langu i was not up to them.Na ww ulizidi 18 yrs? Huyo si mama ako....