zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
- Thread starter
-
- #41
alikuzidi miaka mingapi ewe kijana?Mimi Kuna mmoja wakati nipo shule ya msingi std 6 alikuwa ananivutia sana,sema yeye Rika moja na mama yangu mzazi.Kadri umri wangu ulivyosogea nilijikuta nikisisimka kila ninapokutana naye.
Nilipofikia umri wa kutosha,nikaanza kumuwinda,akajaa.Mpaka Leo tukikutana najipigia TU.Ila ndio tumeifanya siri kubwa.
Tangu mwaka 2006 nakung'uta tu
Kama 20 hivialikuzidi miaka mingapi ewe kijana?
Hongera yako wewe unayefanya kazi nyepesi.Sisi wengine bila jasho mwilini hatuweki kitu tumboni😂.heeeh! mzee baba, umechukuliwa msukule nini! mona kazi ngumu sana hizo.
umenikumbusha mbali sana... kwa kuwa kuna fake id's acha nijimwage... ni mnene kiasi? je, ana mikunjo na kitambi kwa mbali? old days are gold. umenisafirisha mpaka ujanani.Kama 20 hivi
Sema faida yenu kubwa hamtumii gharama za gym ku-burn calories mwilini. Maisha pekee gym tosha. 🫵🏿Hongera yako wewe unayefanya kazi nyepesi.Sisi wengine bila jasho mwilini hatuweki kitu tumboni😂.
Na uwe na adabu pia.ukiacha yale matingatinga,tough na strong poeples ndio watakao kuchimbia kaburi.Sema faida yenu kubwa hamtumii gharama za gym ku-burn calories mwilini. Maisha pekee gym tosha. 🫵🏿
hahahahhaaaa!!!, hardman, kifo ni inevitable kwa wote, nani kakuambia mbeba zege hafi? kaburi ni choice pia, wapo wanaochomwa. Hujasikia wafa maji kuishia kuliwa na samaki? Usiogope safari, and we all share the same destiny.Na uwe na adabu pia.ukiacha yale matingatinga,tough na strong poeples ndio watakao kuchimbia kaburi.
Ameenda hewani hivi,huko nyuma kafungasha si mchezo halafu ni curvy. Mipaja imejaajaa.umenikumbusha mbali sana... kwa kuwa kuna fake id's acha nijimwage... ni mnene kiasi? je, ana mikunjo na kitambi kwa mbali? old days are gold. umenisafirisha mpaka ujanani.
vipi kuna yale matumbo yao yanashuka kwa mbele yananing'inia hivi kwa chini, softtt, je ana tumbo la aina hiyo?Ameenda hewani hivi,huko nyuma kafungasha si mchezo halafu ni curvy. Mipaja imejaajaa.
Siku namla sikuamini kama ndio Mimi au.
Halafu shingo ina mistari.mikunjo ipo juu kidogo kwenye mbavu.
Kuna kipindi nilienjoy naye wiki nzima nipo nae room
Huyu tumbo lake limejikata kama mabinti TU,nahisi labda kwa sababu alizaa mara Moja TU.vipi kuna yale matumbo yao yanashuka kwa mbele yananing'inia hivi kwa chini, softtt, je ana tumbo la aina hiyo?
ooh ok.. nimekumbuka mbali. sema ninachokumbuka ni kwamba uwe vizuri kichwani kuwa nao.Huyu tumbo lake limejikata kama mabinti TU,nahisi labda kwa sababu alizaa mara Moja TU.
Ila huyu namuhudumia,na kwa tofauti ya umri wetu tulishakubaliana kilichopo ni kutimiliza matamanio yetu tu ya mwili na SI vinginevyo.ooh ok.. nimekumbuka mbali. sema ninachokumbuka ni kwamba uwe vizuri kichwani kuwa nao.
goodIla huyu namuhudumia,na kwa tofauti ya umri wetu tulishakubaliana kilichopo ni kutimiliza matamanio yetu tu ya mwili na SI vinginevyo.
K
Basi wacha mimi msukule niendelee na tofali maana muda wa kazi umefika.hahahahhaaaa!!!, hardman, kifo ni inevitable kwa wote, nani kakuambia mbeba zege hafi? kaburi ni choice pia, wapo wanaochomwa. Hujasikia wafa maji kuishia kuliwa na samaki? Usiogope safari, and we all share the same destiny.
Ahahahahahahaheeeh! mzee baba, umechukuliwa msukule nini! mona kazi ngumu sana hizo.
Dah!habarini... maisha hayaaa...
ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile.
bimkubwa ameinama chini anafuta machozi.
sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko mimi... alinizidi like 18 years... na walikuwa wanajuana na mama.. mimi sikujua before
kilichofuata tukaondoka kwa aibu wote... ila sikutaka kumuacha.. ndoa ikafeli.
imepita miaka mingi sana sasa. uzee umeshatia kambi
ujanani vigori sikuwapenda ... niliona wamekauka mno na hawana "nyama nyama"Unaachaje vigori nakuamia mijimama kijana???
Sema ulizoea mimama mbona mabinti kibao wana steki zakutosha !!ujanani vigori sikuwapenda ... niliona wamekauka mno na hawana "nyama nyama"
Siyo lazima uwe umekosa 'size' yako, kuna kumpenda mtu naturally mkuu.Wanaume wakati mwingine tunakula kinachopatikana
Unamvizia Suzy Rika lako miezi inakatika bila jibu la kueleweka
Hapo nyumba ya jirani unaona Kuna Mama anakuita Kila siku umrekebishie dishi la tv yake huku anaigusa gusa bunduki yako
Ndiyo mwanzo wa hayo mahusiano ya gizani
All in all sio jambo zuri kwa maadili yetu