Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

Sawa Mkuu uko Sahihi
Next time jaribu tena.... Humalizi hata hatua Zaidi ya mbili
Heshimu watu na Kazi zao
Next time nimwendo wakutambaa hahahaaa 🤣🤣🤣 dah! Ila siku hizi sichezi mbali na nyumbani...
 
Watalaam wanasema ukivamiwa... yaani ukajikuta uko katika kumi na nane za wavamizi... kimsingi unapaswa kuwapa ushirikiano... don't fight back! Lazima wakuumize kama siyo kukuua....
 
Mambo siku hizi yamebadilika sana sio kama zamani.... Kula bia popote chukua totozi nzuri
Ulinzi upo wa kutosha watu Wako kazini
Namna hiyo...mwendo wa kulamba asali..

Mitano tena kwa bimkubwa sa100 🤣🤣🤣
 
Watalaam wanasema ukivamiwa... yaani ukajikuta uko katika kumi na nane za wavamizi... kimsingi unapaswa kuwapa ushirikiano... don't fight back! Lazima wakuumize kama siyo kukuua....
Inategemea kama unaona kuna nafasi ya kujitetea, Komaa na kuwa jasiri jitete tu...
 
Kitendo cha kuwaona tu hao jamaa akili inadata sasa uskie na shaba zimelia 🤣🤣🤣 unaweza ukazimia mapema tu!
Kuzimia ? Unaweza ukashangaa chupi au boxer imejaa huaro ghafla na mkojo unakutiririka kwa fujo huku kijasho chembamba sana kinakutoka na mapigo ya moyo yanadunda km vigoma vya Singeli
 
Back
Top Bottom