Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaa hapo sawaaa[emoji3][emoji3][emoji3]Nilikuwa darasa la pili
😂😂😂[emoji23] [emoji23] [emoji23] ungekufa we mb*wa
Hv wakiita mwizi cjui huwa wanawazaga nn?Mimi nilimuachia demu simu ya laki nne na pesa nilizomkopesha kwenye biashara yake, tulizinguana nikampa vitasa vya kutosha. Akaniitia mwizi watu walivyokuja wananifahamu wakapotezea wakasema tumalizane wenyewe, Sasa hapa nilipiga Kama bruce lee vile maana alikuwa anataka nife. Baada ya hapo alilazwa week hospital. Kwahiyo hata vitu nilivyompa nikaona bora nimwachie maana nilimpa kipigo heavyweight asee.
Wajinga sana.Hv wakiita mwizi cjui huwa wanawazaga nn ?
Afu mbaya zaid anakupiga panga waz waz na anataka utulie usiongee kituPole kijana hawa viumbe wanatuibia sana yani basi tu... nivile tu, wanaume tuliumbwa kuvumilia na kutokusema hovyo yanayo tusibu,
kila mtu angeliamua kusimulia mizinga ya hao mademu list ingelikuwa kubwa sana.
Pasingelitosha hapa. Yaani ni wezi pro max babaakee....[emoji1787][emoji1787]
Sasa km kakufanyia uduwanzi unafanyaje pesa umetuma na kuonyesha ww bwege tu io pesa anampikia kidume mwengineMwanaume kupigana na mwanamke ni kujidharau na kujidhalilisha
Mimi nimekuelewa the issue hapo sio kibunda ni iyo style ya msichana ndo mbaya... Tuma uje kula then usije naenda om!!!!![emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu atajaenda jela kwa kosa la kijinga, wenzake wanahonga Hadi nyumba yeye buku kumi anapigana kabisa
Mambo ya Green house KEKO hayoKwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza
Hapa nadhan zile hisia kwamba mwanamke anaenda kula chakula nà mwanaume badala ya mtoa mada, ndio zlipelekea hadi kupigana.Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Hebu sema vizuri ni elfu 10 au laki 1?
elf 10 kweli ndo ya kwenda kupigana[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Huyp mwanaume hakutoka ndani kumsaidia kipigo ulichokuwa unampa.Kilichoniuma sio ela kilichoniuma ni ela yangu kupikiwa msosi mwanaume mwingine
Kumbe ndo zenuu aisee hata Kama Nina helaa utatema zitee ita mwizi fanya yotee utakipaaa, yaani unidanganyee Mimi hata Kama Niko benki utazitemaaaa[emoji3525][emoji3525][emoji36][emoji36] Kama hutaki SEMA hapana sitaki kuliko kuweka taamaa mbele alafu hutoii.Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi