Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Kama hautaki kupewa kichapo pesa za watu unachukua za nini?! Unajua kabisa huyo sio baba yako, akikupa hela jua kuna kitu atahitaji why unambania, kama ni rahisi hivyo kupata pesa kwann usitafute za kwako ili usije pigwa?!

Huu Uzi muda siyo mrefu utakuwa wa kutukanana baina ya ke na me. Ngoja nikae pembeni na note book yangu kama George carling.
Kama hautaki kupewa kichapo pesa za watu unachukua za nini?!

Unajua kabisa huyo sio baba yako, akikupa hela jua kuna kitu atahitaji why unambania, kama ni rahisi hivyo kupata pesa kwann usitafute za kwako ili usije pigwa?!
Hii hoja yako nimeipenda utasikia bidada linasema 10000 tu !! Km ni ndogo kwann asitafute ya kwake
 
Next time demu kama huyo muonyeshe uanaume.... Tia mimba.....
Ni lijijanja kachoropoa mimba kibao na kuna mda anawapiga mizinga wanaume wengine kuwa wamtumie pesa akatoe mimba wakat ata hana mimba
 
Huu Uzi muda siyo mrefu utakuwa wa kutukanana baina ya ke na me. Ngoja nikae pembeni na note book yangu kama George carling.
Umechelewa huko mwanzon walishakinukisha wakatukanana naona saiz wameshiba wameamua kupumzika ila watarud tena kuwa standby maana wanaodanga wapo weng humu
 
Kama hautaki kupewa kichapo pesa za watu unachukua za nini?!

Unajua kabisa huyo sio baba yako, akikupa hela jua kuna kitu atahitaji why unambania, kama ni rahisi hivyo kupata pesa kwann usitafute za kwako ili usije pigwa?!
Hela za wanaume tamu Sana kuliko za kupewa na mzazi
 
Hv unafikir kuiangusha nilishindwa vitu vengine muwe mna2mia akili hata km ni demu wako mkigombana umvue nguo eeeh sijui ata nn kitatokea
Yaani nikianzisha varangati na demu alovaa kanga, zile purukushani za mwanzo tu lazima kanga itadondoka.

Sasa wewe hadi anakuchania shati ila kanga yake iliyoegeshwa wala haishtuki! Unaanza vagi hadi linaisha, masumbwi unatupa tena ya tumbo na vichwa unarusha lakini kanga iliyoegeshwa bado ipo salama!! Kama mwanaume wa Dar sawa.
 
Kupika Hata 5000 inatosha
Inategemea mtu na mtu , 10000 inatosha kabisa, Sema ulikuwa mahali pasipo sahihi.
Apo tupo pamoja nilijua unataka kuongea ujinga sijui nitume 50000 ya kupika mmh
 
Yaani nikianzisha varangati na demu alovaa kanga, zile purukushani za mwanzo tu lazima kanga itadondoka.

Sasa wewe hadi anakuchania shati ila kanga yake iliyoegeshwa wala haishtuki! Unaanza vagi hadi linaisha, masumbwi unatupa tena ya tumbo na vichwa unarusha lakini kanga iliyoegeshwa bado ipo salama!! Kama mwanaume wa Dar sawa.
Ndio nyinyi mnakufa kizembe
 
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka fasta bila kuhofia km mkono utavunjika

Ngoja nikupe stori baba iko hv mwaka fulan nilikuwa na mahusiano na dada fulan ambae aliniambia anasoma kampala internationa l university. Sasa bas baada ya kukaa nae kwa kipindj km miez mitano hv ya mahusiano kuna siku nilimwambia nataka niende kwake nikalale akaniambia nimtumie ela ya kupika chakula ili nikija tukitumie iko chakula lakini baada ya kutuma alibadilika na kuanza kuniambia yupo period hivo niaiende maana sito enjoy niende siku nyingine atakayomaliza period.

Nikamwambia mm nakuja ivo ivo lakini hatutosex akakataa akasema hapana nisiende kwan asijikii vzr ivo anatoka hostel anaenda nyumban iliniuma sn kwan nilihisi kudhulumiwa baada ya kuwaadithia masela wakaniambia uyo mwanamke ni muongo na iyo pesa uliomtumia chakula atakuwa kampikia mwanaume mwingine na ndio upo nae uko kwake. Nilipata hasira sana nikainuka nikachukua pikipiki nikaenda mpaka hostel ilikuwa saa 1 usiku ile kufika tu nikakutana naye mlangoni kavaa kanga nilipotaka kufungua mlango niingie ndani alinisukuma na app ndio ngumi zikaanza mata ya kwanza

Niliamin ningeweza kumdhibiti kirahis lkn timbili halikuwa dogo demu alikuwa na nguvu balaa ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza naye bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke ila akili ikanijia Asije akanisingizia nataka kumbaka na uku uswahilin wanawake wanadhaminiwa kuliko ata kitimoto ikibad nimsukume nikamwambia nipe vi1tu nilivokupa niondoke. Alileta ngumu lkn alipoona nimemkazia ikabid atoe alitoe alitoa simu yngu niliompa akanipa na ile 10000 niliomtumia pamoja na nguo zangu zilizokuwa zipo kwake nikasepa

Ebu nawe tuadiaie aiku uliotwangana makonde na demu ilikuwaje
Gender Based Violence#G.B.V
 
Sawa! Wewe umenusurika kifo kwa malaya tena akiwa kangamoko, je ukipambana na dume itakuwaje kama hatuletewi TANZIA humu?
Mwanaume athubutu kurusha ata kidole aone ntachomfanya
Afu ww ndio ile kind ya mijanaume ambayo ikipigana na mtu mnyoge basi ndo inataka kujionesha ni mimwamba usione dogo pigana na kambale
 
Mwanaume athubutu kurusha ata kidole aone ntachomfanya
Afu ww ndio ile kind ya mijanaume ambayo ikipigana na mtu mnyoge basi ndo inataka kujionesha ni mimwamba usione dogo pigana na kambale
Hahahahahaha!!!! Na kweli mimi ni 'lijanaume'. Mchana mwema mkuu.
 
Back
Top Bottom