Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Sasa kwann mnakuwa waongo mtu unasema umpe pesa apike ukija mle kisha anakugeuka anachokua ioio pesa anaenda mpikia mtu mwingine ww unahisi ni haki kabisa kilichoniuma pale sio pesa kilichoniuma ni UONGO na pia pesa yangu kipikiwa mwanaume mwingine nikaona isiwe kesi ngoja nikavamie mm sikuwa na lengo la kupigana ila yeye ndio alianzisha mtiti baada ya kunizuia nisiingie ndani ndio ngumi zikaanzia apo

Afu kwa kukudokeza tu mwishoni kipindi ugomvi unamalizika aliniambia NIONDOKE LA SIVYO ATANIITIA MWIZI kumbe ndio tabia zenu wanawake ukigombana na waume zenu mnawaitia mwizi maana kuna siku nyingine pia kuna bidada fulani hv tuligombana akaniambia ivoivo ATANIITIA MWIZI nikamjibu ita MWIZI uone utakufa ww maana UGOMVI wetu majiran walikuwa wanausikia na wanajua waz kwamba mm sio mwizi bali tumekorofishana ALIUFYATA

DAWA YA MOTO NI MOTO
We kaka mgomv unaonesha[emoji41][emoji41]
 
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka fasta bila kuhofia km mkono utavunjika

Ngoja nikupe stori baba iko hv mwaka fulan nilikuwa na mahusiano na dada fulan ambae aliniambia anasoma kampala internationa l university. Sasa bas baada ya kukaa nae kwa kipindj km miez mitano hv ya mahusiano kuna siku nilimwambia nataka niende kwake nikalale akaniambia nimtumie ela ya kupika chakula ili nikija tukitumie iko chakula lakini baada ya kutuma alibadilika na kuanza kuniambia yupo period hivo niaiende maana sito enjoy niende siku nyingine atakayomaliza period.

Nikamwambia mm nakuja ivo ivo lakini hatutosex akakataa akasema hapana nisiende kwan asijikii vzr ivo anatoka hostel anaenda nyumban iliniuma sn kwan nilihisi kudhulumiwa baada ya kuwaadithia masela wakaniambia uyo mwanamke ni muongo na iyo pesa uliomtumia chakula atakuwa kampikia mwanaume mwingine na ndio upo nae uko kwake. Nilipata hasira sana nikainuka nikachukua pikipiki nikaenda mpaka hostel ilikuwa saa 1 usiku ile kufika tu nikakutana naye mlangoni kavaa kanga nilipotaka kufungua mlango niingie ndani alinisukuma na app ndio ngumi zikaanza mata ya kwanza

Niliamin ningeweza kumdhibiti kirahis lkn timbili halikuwa dogo demu alikuwa na nguvu balaa ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza naye bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke ila akili ikanijia Asije akanisingizia nataka kumbaka na uku uswahilin wanawake wanadhaminiwa kuliko ata kitimoto ikibad nimsukume nikamwambia nipe vi1tu nilivokupa niondoke. Alileta ngumu lkn alipoona nimemkazia ikabid atoe alitoe alitoa simu yngu niliompa akanipa na ile 10000 niliomtumia pamoja na nguo zangu zilizokuwa zipo kwake nikasepa

Ebu nawe tuadiaie aiku uliotwangana makonde na demu ilikuwaje
Wanafunzi wa chuo hao!!!
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji2299]
 
Mimi ilikuwa hivi, nilikuwa napenda sana kwenda kutembea kwa rafiki yangu ambaye alikuwa anaishi mtaa wa mbali kidogo, sasa jirani na huyo rafiki yangu kulikuwa na wanafunzi wa kike wa secondary walokuwa wamepanga getto ila wanasoma shule ya privet.

Kutokana na muonekano wangu ni mrefu ,mwembamba kiasi na sura ya kinyarwanda, basi wakatokea kunipenda wote kwa pamoja, wakawa wanatengeneza mazoea ya kuniita na kuniagiza dukani,mimi nawaendelezea vitu na rudi kwa rafiki yangu tunapiga story basi siku inapita.

Siku moja jioni nikaenda kwa yule rafiki yangu sikumkuta wala nyumbani kwao hapakuwa na mtu basi nikaona bora nirudi zangu home, ina natoka nyumbani kwa huyo rafiki yangu, demu mmoja akaniita kati ya wale wapangaji akaniambia "Mdogo wangu chukua pesa ndani hapa mezani ukaninunulie mafuta ya kupikia nataka nipike wali leo, basi me nikajuwa hakuna tatizo,

Ile naingia ndani tu nikashangaa anafunga mlango na ndani kulikuwemo na mwenzake mmoja aliyekuwa amelala kitandani tena bila hata nguo za ndani bali amejifunika shuka tu wakaanza kunivua nguo wamesha pagawa, nikajaribu tumia nguvu zangu zote ila nikashindwa, mmoja akafanikiwa kunishusha suluari langu, kutokana nilikuwa mshamba mshamba, harafu mpole sana mpaka leo sinaga maneno mengi,
Ilinibidi nipige kelele kwa kulia kwa nguvu kuomba msaada kwa majirani, wale mabinti wakafungua mlango nikachoropoka nikakimbia nje, wakanitukana sana, yaani matusi ya maana.mabinti sometime huwa wananguvu kweli asikwambie mtu.
 
Sio sh*ga kwel wewe
 
Mbona essay babu.tulia dawa ikuingie una fumba macho ya nini usiku uu
Usiforce bifu kwa mtu usiye mfahamu tafuta pesa, haunifahamu sikufahamu, b*ngi uliyovuta inaonekana leo pusha kakuchanganyia na mavi. Unajiona Hittla
 
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka fasta bila kuhofia km mkono utavunjika

Ngoja nikupe stori baba iko hv mwaka fulan nilikuwa na mahusiano na dada fulan ambae aliniambia anasoma kampala internationa l university. Sasa bas baada ya kukaa nae kwa kipindj km miez mitano hv ya mahusiano kuna siku nilimwambia nataka niende kwake nikalale akaniambia nimtumie ela ya kupika chakula ili nikija tukitumie iko chakula lakini baada ya kutuma alibadilika na kuanza kuniambia yupo period hivo niaiende maana sito enjoy niende siku nyingine atakayomaliza period.

Nikamwambia mm nakuja ivo ivo lakini hatutosex akakataa akasema hapana nisiende kwan asijikii vzr ivo anatoka hostel anaenda nyumban iliniuma sn kwan nilihisi kudhulumiwa baada ya kuwaadithia masela wakaniambia uyo mwanamke ni muongo na iyo pesa uliomtumia chakula atakuwa kampikia mwanaume mwingine na ndio upo nae uko kwake. Nilipata hasira sana nikainuka nikachukua pikipiki nikaenda mpaka hostel ilikuwa saa 1 usiku ile kufika tu nikakutana naye mlangoni kavaa kanga nilipotaka kufungua mlango niingie ndani alinisukuma na app ndio ngumi zikaanza mata ya kwanza

Niliamin ningeweza kumdhibiti kirahis lkn timbili halikuwa dogo demu alikuwa na nguvu balaa ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza naye bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke ila akili ikanijia Asije akanisingizia nataka kumbaka na uku uswahilin wanawake wanadhaminiwa kuliko ata kitimoto ikibad nimsukume nikamwambia nipe vi1tu nilivokupa niondoke. Alileta ngumu lkn alipoona nimemkazia ikabid atoe alitoe alitoa simu yngu niliompa akanipa na ile 10000 niliomtumia pamoja na nguo zangu zilizokuwa zipo kwake nikasepa

Ebu nawe tuadiaie aiku uliotwangana makonde na demu ilikuwaje
Usiogope mkuu kama ulipigw si useme tu hatuta kucheka haha[emoji23][emoji23]
 
Sikupigwa ebu soma vzr mbona nimeadithia kila kitu wale viumbe sio wa mchezo mchezo ukitake easy utashangaa kashakuzid nguvu
Kuwa makini sana kuna wenzako wamekufa kwasababu ya issue kama hizi wanapgiwa kelele kuwa mwizi na raia uwa hawaulizi wanapiga
 
Siku nyingine ikitokea scenario kama hii mkuu....usimfate kwake au popote ulipoambiwa yupo

Muite kwako,mpigie huko....watakuitia mwizi,kuna wenzako wamekufa kipimbi kama hivyo
 
Mwanaume hapigani na mwanamke ngumi hata siku moja, mwanaume anapiga

Inshu yako ni kuwa huna control ndo maana mwanamke alipigana na wewe kwa kuwa alijua wewe ni shoga yake Tu

Mwanamke akijua kuwa wewe ni controller hawezi kunyanyua ngumi kamwe haijalishi una umbo gani
 
Mimi nilimuachia demu simu ya laki nne na pesa nilizomkopesha kwenye biashara yake, tulizinguana nikampa vitasa vya kutosha. Akaniitia mwizi watu walivyokuja wananifahamu wakapotezea wakasema tumalizane wenyewe, Sasa hapa nilipiga Kama bruce lee vile maana alikuwa anataka nife. Baada ya hapo alilazwa week hospital. Kwahiyo hata vitu nilivyompa nikaona bora nimwachie maana nilimpa kipigo heavyweight asee.
 
Back
Top Bottom