Mimi ilikuwa hivi, nilikuwa napenda sana kwenda kutembea kwa rafiki yangu ambaye alikuwa anaishi mtaa wa mbali kidogo, sasa jirani na huyo rafiki yangu kulikuwa na wanafunzi wa kike wa secondary walokuwa wamepanga getto ila wanasoma shule ya privet.
Kutokana na muonekano wangu ni mrefu ,mwembamba kiasi na sura ya kinyarwanda, basi wakatokea kunipenda wote kwa pamoja, wakawa wanatengeneza mazoea ya kuniita na kuniagiza dukani,mimi nawaendelezea vitu na rudi kwa rafiki yangu tunapiga story basi siku inapita.
Siku moja jioni nikaenda kwa yule rafiki yangu sikumkuta wala nyumbani kwao hapakuwa na mtu basi nikaona bora nirudi zangu home, ina natoka nyumbani kwa huyo rafiki yangu, demu mmoja akaniita kati ya wale wapangaji akaniambia "Mdogo wangu chukua pesa ndani hapa mezani ukaninunulie mafuta ya kupikia nataka nipike wali leo, basi me nikajuwa hakuna tatizo,
Ile naingia ndani tu nikashangaa anafunga mlango na ndani kulikuwemo na mwenzake mmoja aliyekuwa amelala kitandani tena bila hata nguo za ndani bali amejifunika shuka tu wakaanza kunivua nguo wamesha pagawa, nikajaribu tumia nguvu zangu zote ila nikashindwa, mmoja akafanikiwa kunishusha suluari langu, kutokana nilikuwa mshamba mshamba, harafu mpole sana mpaka leo sinaga maneno mengi,
Ilinibidi nipige kelele kwa kulia kwa nguvu kuomba msaada kwa majirani, wale mabinti wakafungua mlango nikachoropoka nikakimbia nje, wakanitukana sana, yaani matusi ya maana.mabinti sometime huwa wananguvu kweli asikwambie mtu.