Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Mbona mnaomba elfu 10 kama ni kiasi kidogo sana

Embu ficha ujinga wako tyako wewe
Tyako nyie elfu kumi tu inataka kuwapeleka jela Tena mleta mada utakuja kuishia jela kwa hyo tabia yako, ukiwa jela utakumbuka comments zangu, Kama una stress hamna hela achaneni na mapenzi
 
Kwenda jela kisa buku ten matumizi mabaya ya uhalifu nauli tu ya kwenda na kurudi buku ten imeisha
hapo ukiangalia swala la pesa utasema pesa ndogo inamtoa mtu imani lakin hebu tazama upande wa pili ni kwamba pisi linamletea mwamba magumashi thatz why mwamba kaamua kuonesha uanaume wake kwa njia ya mkong'oto, so jamaa yupo sawa kwa upande mwingine
 
Huo umwamba wa ajabu utampeleka jela ili akaji mwambafai vizuri au kuuliwa na raia.
 
Ujawah kung'atwa ww au kukwanguliwa na makucha au kuchania wanawake utawapiga lkn not easy bro ukizubaa ashakuzid nguvu zaman
Mkuu ni ngumu kama unavyozani mtoto wa kike kunpiga mimi haiwezekani si kwa mazoezi ya kijeshi ninayofanya
 
Mkuu umempiga pisi ngumi nyingi kisa mteni[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila umeyumba bn bora ungechukulia Ni Kama ulikula malaya ukamlipa maana najua ulisha mchungulia Mara shazi so ungeamu kumtema kimya kimya ingekua Safi zaidi!
 
Nimecheka sana mkuu. Yaani ulitaka kumtoa roho mtoto wa watu kisa tsh.10000. Kweli mchumia janga hula na wakwao..[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Wanaume msio na hela mnatabia chafu Sana, Yani 10000 ulitaka kuua, endelea na wahuni wenzako, ningekuwa Mimi unanipiga ningekuitia mwizi
Hahahah muwe na huruma.

Waoneni huruma watoto wa wanawake wenzenu

Sio fair kutaka hela in easy way
 
Hahahah muwe na huruma.

Waoneni huruma watoto wa wanawake wenzenu

Sio fair kutaka hela in easy way
Mwanaume lazima ale kwa jasho bila hela piga bao la mkono, Nani anataka kuchakazwa papuchi bure bure, a big nope
 
Mwanaume lazima ale kwa jasho bila hela piga bao la mkono, Nani anataka kuchakazwa papuchi bure bure, a big nope
Sawa kula kwa jasho tunalifahamu Ila sio kutapeli watu kwa staili hio

Unaomba hela halafu unasingizia period [emoji849][emoji44]

Ningekuwa Mimi ungechezea nakoz mvua [emoji2]

Huwa sipendi ujinga come straight be serious tusipotezeane muda
 
Unadhani pesa watu wanazinya? Pesa hata iwe ndogo vipi, inatafutwa. Jasho la mtu limetoka.

Mnaona fahari gani kumwagiwa shahawa za Jose na Fujo kwenye mashimo yenu!!!
Mna njaa sana? Shida nini?
Yaani hizi level siwezi fikiria kukaa hata sekunde. Mkuu unaandika waraka mrefu kisa elfu kumi 😂😂😂😂😂 sikutafunii hata pipi kifua
 
kilichoniuma sio hela wadau kilichoniuma ni kunidanganya pia ela yangu kupikiwa mwanaume mwingine
Ni kweli utithibitisha kwamba hela yako ilitumika kupikiwa mwanaume mwingine? Umesema alikusukuma means hukuona kilichokuwa ndani
 
Sawa kula kwa jasho tunalifahamu Ila sio kutapeli watu kwa staili hio

Unaomba hela halafu unasingizia period [emoji849][emoji44]

Ningekuwa Mimi ungechezea nakoz mvua [emoji2]

Huwa sipendi ujinga come straight be serious tusipotezeane muda
[emoji23][emoji23][emoji23]eti nachezea nakozi, ndio maana naona mapenzi ya maskini na mwenye nacho Ni unafiki watu Wana pendeana vitu flani na sio upendo
 
Tyako nyie elfu kumi tu inataka kuwapeleka jela Tena mleta mada utakuja kuishia jela kwa hyo tabia yako, ukiwa jela utakumbuka comments zangu, Kama una stress hamna hela achaneni na mapenzi
Dah wanawake wa sasa unaweza kupiga mpaka ukaua eti km huna pesa achana na mapenzi hii inaonesha ni jins gan mlivyo na tamaa mapenz mshageuza business sasa kuna tofaut gan nyiny na malaya wa pale sinza
 
Back
Top Bottom