Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Sitosahau siku niliyopigana makofi na mwanamke

Vile watu mnaidis buku 10 ya jamaa inabidi niendelee tu kuamini JF kila mtu ni mdos😁

BTW kwa wazee mliompopoa mleta sredi, je ni kiasi gani mtu akihonga anastahili kurusha ngumi?
 
Acha kudharau pesa kiasi hicho wewe,

We ni nani mpaka useme maneno hayo,
achana na watu wa namna hiyo!

Kidukulilo akisema anamiliki mindinga mikali na majumba ya kutosha atakuja kumkosoa!

Renamaizo amekuja na sredi ya buku 10 bado kampopoa!

Hao ndio wanaJF mkuu hata awaeleweki wanataka nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eti nachezea nakozi, ndio maana naona mapenzi ya maskini na mwenye nacho Ni unafiki watu Wana pendeana vitu flani na sio upendo
Hahaaahah ndio ilani yetu masikini ukizingua tunakuchenjia

Hatutaki ujinga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Vile watu mnaidis buku 10 ya jamaa inabidi niendelee tu kuamini JF kila mtu ni mdos[emoji16]

BTW kwa wazee mliompopoa mleta sredi, je ni kiasi gani mtu akihonga anastahili kurusha ngumi?
Kiasi chochote ili mradi ulikitolea jasho kukitafuta[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee ukorofishane na hawa viumbe mfikie hatua muamue kupigana aisee usijidanganye kazi inaweza kuwa rahis hawa viumbe wana nguvu na wakikasirika wanakuwa km mashetan yaan unaweza kumkunja mkono ili umtulize mwenzako akageuka fasta bila kuhofia km mkono utavunjika

Ngoja nikupe stori baba iko hv mwaka fulan nilikuwa na mahusiano na dada fulan ambae aliniambia anasoma kampala internationa l university. Sasa bas baada ya kukaa nae kwa kipindj km miez mitano hv ya mahusiano kuna siku nilimwambia nataka niende kwake nikalale akaniambia nimtumie ela ya kupika chakula ili nikija tukitumie iko chakula lakini baada ya kutuma alibadilika na kuanza kuniambia yupo period hivo niaiende maana sito enjoy niende siku nyingine atakayomaliza period.

Nikamwambia mm nakuja ivo ivo lakini hatutosex akakataa akasema hapana nisiende kwan asijikii vzr ivo anatoka hostel anaenda nyumban iliniuma sn kwan nilihisi kudhulumiwa baada ya kuwaadithia masela wakaniambia uyo mwanamke ni muongo na iyo pesa uliomtumia chakula atakuwa kampikia mwanaume mwingine na ndio upo nae uko kwake. Nilipata hasira sana nikainuka nikachukua pikipiki nikaenda mpaka hostel ilikuwa saa 1 usiku ile kufika tu nikakutana naye mlangoni kavaa kanga nilipotaka kufungua mlango niingie ndani alinisukuma na app ndio ngumi zikaanza mata ya kwanza

Niliamin ningeweza kumdhibiti kirahis lkn timbili halikuwa dogo demu alikuwa na nguvu balaa ikabid nianze kufanya km napigana na mwanaume na sikutake tena easy nilimpa ngumi kadhaa za tumbo aiaee mademu wana matumbo malaini nikamtia lock ya mkono nikampa bapa la mgongo kisha nikamtia ngumi ya kichwa kwa bahati mbaya ikagonga au nzur ikagonga rasta kisha nikamgeuza nikamvuta km nataka kucheza naye bluez nikampiga kichwa cha utosi akanikunja shati yangu akaichana nikataka niichane kanga yke ila akili ikanijia Asije akanisingizia nataka kumbaka na uku uswahilin wanawake wanadhaminiwa kuliko ata kitimoto ikibad nimsukume nikamwambia nipe vi1tu nilivokupa niondoke. Alileta ngumu lkn alipoona nimemkazia ikabid atoe alitoe alitoa simu yngu niliompa akanipa na ile 10000 niliomtumia pamoja na nguo zangu zilizokuwa zipo kwake nikasepa

Ebu nawe tuadiaie aiku uliotwangana makonde na demu ilikuwaje
So far nice aproach. Alivuna alichokipanda. Ila wadangaji watakutolea mapovu ya kutosha,

Hapa shida sio hela. Shida ni UONGO na DHARAU, ila aproach ya Vitasa ilimfaa sana.
 
Wewe upigane na mwanamke kisa elfu kumi na viguo hivyo na kisimu
Teh teh hebu kumbuka kijamaa chako cha zamani kabla ya huyu wa sasa kama imewahi kutokea akakuomba ten ukampa.
Siungi mkono kupigana, ila ten ni hela angenunua hata sox, au kuwapa tu watoto wa shule madaftari.
 
Ila mzee, unapiganaje na mwanamke na unampiga ngumi tumboni, sijui kichwa,suppose angezima au kuchanika bandama hivi, au angefariki....
 
Kwenda jela kisa buku ten matumizi mabaya ya uhalifu nauli tu ya kwenda na kurudi buku ten imeisha

Ulianza kumwagiwa mishahawa ya walevi ukiwa darasa la ngapi? Uchi wako unatamanika kweli? Nyaaaa
 
Nimecheka sana mkuu. Yaani ulitaka kumtoa roho mtoto wa watu kisa tsh.10000. Kweli mchumia janga hula na wakwao..[emoji81][emoji81][emoji81]
we umeiona 10k tu kunasimu pia Apo inaonekana kwamba jamaa alikuwa anahudumia sana
 
Teh teh hebu kumbuka kijamaa chako cha zamani kabla ya huyu wa sasa kama imewahi kutokea akakuomba ten ukampa.
Siungi mkono kupigana, ila ten ni hela angenunua hata sox, au kuwapa tu watoto wa shule madaftari.
clear bila mia hamna buku bila buku hamna bukuteni bila buku ten hamna laki ivo usiidharau ela
 
Vile watu mnaidis buku 10 ya jamaa inabidi niendelee tu kuamini JF kila mtu ni mdos😁

BTW kwa wazee mliompopoa mleta sredi, je ni kiasi gani mtu akihonga anastahili kurusha ngumi?
wakikujibu nitag
 
Ndio maana Mimi sitegemei mtu maana staki stress kisa vitu vyako nisiwe huru siwezi
Hapo umeongea jambo la jengo kama sio la msingi.
By the way kama mtu humtaki, mchane tu kuwa mi sikuelewi, au nakupa nafasi ila nina mwamba mwingine.
 
Hapo umeongea jambo la jengo kama sio la msingi.
By the way kama mtu humtaki, mchane tu kuwa mi sikuelewi, au nakupa nafasi ila nina mwamba mwingine.
True tatizo njaa kali bongo ukimtongoza mdada 1st day tu anakuwa ashajua km anakupenda au la sasa km hakutak kinachobak ni ujanja ujanja tu kwanza akupige mizinga ndio kipind unajitutumua mwishoni ndio anakuja kulwambia sikutak mm ndio maana napinga swqla la kumpa demu pesa mwanzon mkishakuwa wapenz ndio umpe hela sasa umetongoza tu apo apo ushaanza kumwaga na mpunga lazima msichana akudharau
 
Utaratibu ni uleule, hela haitumwi, inafuatwa mkuu
 
Back
Top Bottom