Sitosahau siku niliyotishiwa bunduki na baba!

Mtoto sio kupiga tu mpe na elimu ya maisha pia ndio elimu bora kuliko zote.

Wazazi weeeeengi hawakai na watoto wao, kuwapa nasa za ukweli wa maisha. Unaweza kudunda mtoto ukaishia kumtengenezea nidhamu ya uoga tu, awapo na wewe heshima za kifalme ila usipokuwepo anakua muhuni huni tu.

Lazima umsome mtoto wako tabia zingine ni za kurithi huenda hata ametoa kwako DNA zinasoma hivi vitu pia, hivyo lazima umsaidie kuondokana nazo.

Ukweli usiofichika wa kifalsafa mlezi mzuri ni baba, ila mama ni huruma na mapenzi, akikuchapa baada ya muda anaanza kukuchombeza polee mwanangu usirudie tena ehh... Ila baba anakufokonyoa na hamsemeshani mpaka kesho na amri za kikamanda kamanda tu.

Nakumbuka baba aliwahi kunipiga kofi moja hilo aisee nilihisima zimeruka huko kichwani,.. kama dakika 5 hivi sikua najielewa nini kimetokea. Ndio ilikua mara ya kwanza kunipiga kutoka najitambua.
 

Perfect sana!
 
Watoto wa mboga 7 fc ni changamoto.

Mboga 7 hata si issue kivile when it comes kwenye malezi ya mtoto/watoto, hasa nyakati hizi!!

Karibu uswahilini tunakoshindia ugali tembele kutwa nzima mara moja...saa kumi jioni!!

Panya road wanatoka familia zipi kwa asilimia kubwa?!?

A Human is a complex being!
 

Maajabu ni kwamba ungepigwa wewe mpaka uchakae!

Haijalishi action ya mtu kwako ama mbele yako, kikubwa ni Re-action yako kwao!
 



Pengine 90% of us ni Sadists due to the nature of our up bringing!?

Na hiki ndio kikwazo chetu halisi?? Is this the root of our selfishness?!?
 
Wazee wengi kujitafutia matatizo unamkokia mwanao silaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ikichomoka utaiambia nini jamuhuri
nilimuona baba mkatili sana, sikuwa karibu naye kabisa
 
kwahiyo mzee wako alikupiga banzi mara moja ukazimia! πŸ˜†πŸ˜†
 
The fact that you remember it...in details kama hivi, it means it made a Dent in the Line of your life!

Hilo ni kovu!

The good part is you decided to embrace it positively. Safi!
makovu kwa mwanaume ni kawaida sometimes, positive optimism ndiyo kitu muhimu when it comes to family matter
 
Nia yake ilikuwa nzuri, japo imefanikiwa kwako lakini njia aliyoitumia kutishia kukuua ni mbaya Sana. Usije ukaitumia hii njia kwa mwanao. Inawea kusababisha madhara makubwa
 
Nia yake ilikuwa nzuri, japo imefanikiwa kwako lakini njia aliyoitumia kutishia kukuua ni mbaya Sana. Usije ukaitumia hii njia kwa mwanao. Inawea kusababisha madhara makubwa
nimekuelewa sana πŸ™πŸΎ
 
Pengine 90% of us ni Sadists due to the nature of our up bringing!?

Na hiki ndio kikwazo chetu halisi?? Is this the root of our selfishness?!?
kwa asilimia kubwa, kulelewa with emptiness of love or the one expressed in a wrong form

Japo sometimes kuna wale hufanya hivyo lakini bado hurudi nyuma na kuwawekea mazingira bora watoto wao. Kila kitu ni kizuri kikiwa na mipaka na kiasi
 
nafikiri afya ya akili Tanzania sio ugonjwa, wengi tumeathirika na hatujitambui
na mbaya zaidi tunaamini ni kawaida hadi pale zinapokuja impact ya hicho kitu mfano mtu akichukua maamuzi ya kujidhuru au kujiua wakati ni kitu kingepatiwa ufumbuzi kwa kuongea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…