Sitosahau siku niliyotishiwa bunduki na baba!

Umezingua
Ungeshuka kumpelekea kipigo uyo yaani unatukaniwa mzee wako unaenda kulia

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kwamba alikunyooshea silaha lakini kamwe asingeweza kukupiga.Huo ni upendo wa Baba!.Hongera kwa kujifunza na kutambua funzo lake!
 
Yote ni katika kutaka kukutengeneza wewe.Bora nikuvunje kiuno ukae kitandan kuliko kuja kuwa mpumbavu wa hopelesa na kuishia kuwa shoga kama wengi wao wa vijana wa leo.Af mnaishia kumlaumu Mungu kuwa ya mungu mengi
😆😆 wewe na Sabaya ni ndugu!
 
mshua angu alikua mkali kinyama ila saiv tupo mafriend sana tu kaniachia kibarua nimnyooshe dogo
 
Mkwara umefanya kazi!
 
Mwenzio nilininginizwa kwenye dari na na taulo yaani nilinyongwa.
Mdingi hajalala home siku 2 anarudi e bana akapewa mashtaka mwanao shule huko imekutwa barua ya mapenzi,sijaandika hiyo barua kuna msenge mmoja wivu wake kaandika kaandika katupa njia ya ofisi.
Nikaitwa nikachapwa sana viboko.
Maza alikua nae mwalimu hapo akawambia nipeni hiyo barua.karudi nayo home.
Bana dingi karudi toka kwa mchepuko hehee kataka sifa sasa nilitandikwa ngumi,vichwa ,mateke mwisho akafunga kitanzi na taulo.
Kanifunga shingoni kaninginiza pale juu.
Daah Huku karudi kwa mamsapu wake wanapiga story tu mi naninginia hapo.
Badae sana ndio nikafunguliwa nikasindikizwa na teke kali saana nikalale.
Poa tu,ila yule fala aliyenisingizia nilimvizia na wanangu tulitaka kuua.
Tulipiga vipigo vyoote
Mpaka kakata moto.
Tukatambaa
 
Kuna kipindi fulani cha nyuma nilitoka out na watoto wangu watatu wenye umri wa kujitambua kabisa kwan binti mkubwa alikuwa form 1,boys std lV na ll. Huko tulikutakana na trafic ambao tayari walikuwa wamesimamisha magari mengine,mie nikipita zangu,mara kama KM 1 Naona gari markll inanizonga kwa nyuma na mahorn mengi,mie nikasimama,kuchek ni wale traffic wako wawili,wakaja wananifokea eti kwanini nimesimamishwa na sikusimama,nikawajibu mimi hamkunisimamisha,mara ghafla nina kibao cha uso,mara cha pili,nikasikia watoto wanaanza kupiga kelele za kulia baba,babaaa!!!
Aisee ndo siku ya kwanza kukanyaga katiba ya JMT kwn hicho kipondo walichopokea hawatakaa wasahau maishani,nilidhalilishwa mbele ya watoto.Japo ilicost sana but potelea mbali nilijitunzia heshima mbele ya wanangu. Hii kesi ilimalizwa na viongozi wenye busara japo hapo nshaaumia kipesa, kazini na kifamilia pia.Wanangu niwaambia kila siku sitaki mwanangu awe polisi,nitamlaani maishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…