Sitosahau siku niliyotishiwa bunduki na baba!

Pole Sana, hakuna kitu kinauma kmkudhalilishwa mbele ya watu muhimu, mke/mume, watoto, wazazi au wakwe
 
Napenda Sana vijana wanaowapenda wazazi wao wa kiume, long live kijana pamoja na mzazi wako!!!
 
mkwara wake ulifanikiwa kwa kiwango kikubwa
 
maana ya kuwa baba ndiyo hii
 
mzee wako alikuonea, alifanya torturing kali sana 🧐
 
Hiyo kitu nikikumbuka huwa namchukia kabisa.
Ila alikua mtu poa sana kwenye mambo mengine.siku hiyo alikua anaua soo tu.
Mi ndo nikawa mbuzi wa kafara
bado kidogo ungekuwa hivyo
 
amenijenga kimwili, kiakiki na kiroho.
Ilibidi afanye hivyo coz yaonekana alishatumiaga njia zingine za kukuonya ila ukawa haumbaliki. He did it well n today you are proud of having him in your life. Congrats dude
 
Acha tu.
Nimekumbuka badae sana km siku 2 sijaskia mlio wa gari wala pikipiki.
Ndo nikajua ahaa ana msala huko ndani na mkewe hapo anajaribu tu kumwonyesha hapendi uzinzi.
HAHAHAHH! πŸ˜†πŸ˜†
mzee wako alitumia akili kubwa hadi kurisk mtoto wake!
 
Ilibidi afanye hivyo coz yaonekana alishatumiaga njia zingine za kukuonya ila ukawa haumbaliki. He did it well n today you are proud of having him in your life. Congrats dude
πŸ™πŸΎ thanks a lot brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…