Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

imagine upo unajipima magetoni halafu shaaaaaaaa mistari miwili,

yaaaan twaaa mistari miwili

yaaani taaaa mistari miwili

unajaribu kipimo kingine mara chaaaaa mistari miwili

unachanganyikiwa unaanza kupiga kelele ghafla unasikia wife anakwambia "MUME WANGU KARIBU CHAKULA"
 
Staki kusikia kitu kinaitwa ukimwi staki kabisa maumivu yake ni makubwa sana ndio maana niliamua kukaa mbali na kitu kinaitwa mapenzi. Naweza.maliza miaka hata mitatu sijui mwanaume na ikitokea kupima ni lazima afu kinga ni lazima. Staki kabisa kusikia huyo mdudu alimaliza watu.

Wakuu tumieni kinga au acha mapenzi kabisa. Ukimwi unatesa sana wakuu.

Mleta mada asante kuwakumbusha maana watu wanachukulia poa.

Wakuu afya ni muhimu.
 
Sasa wewe ndio unautesa mwili wako. Miaka mitatu bila bila unatesa mwili wako.
 
Kinyanambo
Bomani
Laini polisi
Met
Pipeline
Ndolezi
Twico/sao hill

Sahizi tumeachiwa nyumba za urithi tu, 1995 mpaka 2004 watu wamepukutika sana....kuna Mbunge mmoja anaitwa Ma....la alipukutishwa yeye pamoja na mke wake.
 
Nilikuwa nakaa mtaa fulani, watu wa mtaa ule tunajua kuwa demu fulani ana ngoma. Kisha unakuja kumkuta Yanki kahamia, anajifanya much know kuliko masela aliowakuta, anaanza kumtongoza yule demu. Ukizunguuka ukarudi unakuta jamaa anakula mate, roho inakuuma , unatamani umtonye jamaa kuwa braza utaungua hapo acha. Lakini roho inasita, unaweza kumtonya, halafu akaenda kumwambia yule demu kuwa jamaa anasema hivihivi na hivi, Ukajikuta umejitengenezea uadui mtaani, na hata ukategeshewa pini yenye ngoma ujichome na wewe uupate!.
Au inawezekana jamaa kala jana, halafu wewe unamtonya leo. Pia jamaa naye sasa atakugeuza adui, kwa nini umpe habari kama hizo.

Mwishowe unaamua kukaa kimya tu, ila roho inakuuma kuwa Mshikaji pale anaenda kuungua tu!
 
Ngwea my favorite album a.k.a Mimi,,,,,rip ngwea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…