Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Pumba to the fullest
 
daah hivi vitu usimuliwe tu km ivi omba isikutokee. Stori yko inafanana kidogo na ya yangu. Kuna dem wa mkoa wa jirani tulipangana aje mkoa nilipo kuspend wikendi yani ijumaa hlf ataondoka jpili asbh.

Sasa ile dem katua tu mzee kanikuta na vile vipimo vya kujipimia ngoma nyumbani. Huku na huku dem nikamweleza mambo ya kupima naona dem anachomoa hataki kupima. Mzee nikatia siasa nyingi hadi dem akakubali tukapima japo kwa shingo upande. ilikuwa kile kipimo cha kutumia mate unaburuza kwene ufizi hlf kuna vimaji flan maalumu unachovya.

sasa cha ajabu yeye hakutaka hata kuangalia hayo majibu yenyewe alivyomaliza kuburuza kile kidudu kwene ufizi akakitelekeza kwene maji akaenda zake kulala akaniachia vipimo vyote hapo. Heee! sa mm nipo mwenyew naangalia tu vile vipimo cha kwangu na cha dem. mara fasta ndani ya dakika km mbili hivi kile kidude cha yule kikachora waaa waaa mistari miwili mbele ya macho yangu duu nikaona tayari ishakuwa balaa. nkarudi kuungana na dem kwa bed kulala. ila hatukuongea chochote na dem khs majibu ya vile vipimo na yeye wala hakuuliza chochote nazan alishajijua hali yake ya afya. namm nkachuna ivoivo sikumwambia lolote tukalala. mambo mengne ya baba na mama yakaendelea kama kawaida ila kwa umakini mkubwa wa matumizi ya ndom.

sasa hapo ilikuwa ndo tunaamkia jmos namm sijui km dem keshaanza dawa au la na vile alivyoanza kukataa kupima nikaona hpn nikaona hatari ya kushinda pale hom na dem tunakulana kutwa nzma ya ile jmos nkaona isije nikakosea ikawa shida. ile jmos japo sikuwa na ratiba yoyote lakin kwa hofu ikabidi nimwachie dem geto kwa siku nzima nkatafute sehem ya kwenda kuzugia kutwa nzima nikarudi usiku km saa 4 au 5 hivi nimerudi tyr nna tiketi yake mkononi ya kuondoka asbh ya siku ya pili. nkamwinua dem twenzetu disco tukawa huko disko tukarudi usikumwingi sana km saa 8-9 wote tumechoka hakuna linaloweza kufanyika zaidi ya kujitupa ktandani kulala. saa 10 nikamshtua tusogee stendi akapanda gari kurudi kwao. daah hizi mambo zisikie tu kwakweli.
 
Nakumbuka 2001 kuingia 2002 kuna dada tulikuwa tunasali naye kipindi hicho huko nyumbani kanda ya ziwa. Dada alikuwa mzuri sana pisi ya kwenda sema ndo ivo alikuwa hajatulia kudanga kwa sana route kama zote. Ww si akaja kanya waya, nakumbuka bado nilikuwa mdogo but namkumbuka vzuri. Akaanza kuugua mdogo mdogo zinapita week hata 2 haji kanisani siku akija full kulala lala tu mara atoke nje kuota jua wakati joto kali mcha yeye baridi haliishi. Mwisho wa siku habari zikasambaa mtaani kuwa dada kauvagaa. Ikifikia kipindi hawezi kutoka ndani kanisani hatokei tena nikaja kumuona siku moja nahisi ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kuja kanisani maana aliletwa kanisani kwny baiskel na kaka yake. Dada kaisha kawa kama mtt mdogo nywele zimenyonyoka nyepesi mdomo kama kapaka unga dalili zote unaziona kabisa hazijifichi.
Tokea hapo sikumuona kuja tena kanisani hata mataani, akawa wa kulala ndani tu kila kitu kitandani hata chooni hawezi kwenda ilikuwa balaa siku tukaenda kumsalimia yaani kitandani huoni mtu mtu unasikia sauti tu halafu kipindi hicho walikuwa wanakuwa wakali balaa. Mwaka 2002 kama sikosei dada wa watu akaumaliza mwendo. Jamani UKIMWI wa miaka ya 2000 ilikuwa ni balaa. Mtu unakonda unabaki kichwa tu nywele zinaisha kichwani, mdomo unapauka, majipu hayakuishi, kuharisha ndo usiseme. Waliopata HIV kipindi hicho waliteseka sana.
#WatchOutHIVisReal.
 
Wa pili ni jamaa yangu wa karibu kabisa kifamilia tulimpoteza 2007 yeye aligoma kabisa kuendelea na ART akakata moto japo ilikuwa balaa aliteseka sana jamaa yangu mpaka anakuja kukata moto. Wanaosema kuwa kuna ugonjwa wa kuogofya zaidi ya HIV nawasikitikia may be haujawahi kugusa kwny familia zao au hata mtaani kwao kwa watu wao wa karibu. UKIMWI ni kisanga ogopa sana ile mbanga.
 
Mlinde mkeo chief maana sio poa kupeleka maambukizi ya HIV nyumbani. Tumia condom.
 
Mimi nikuwa na kitabia kibaya sana ,nilikuwa nikisikia demu ana ngoma mimi naenda bila wasi wasi najua hapo kinga itatumika,na kweli nilikuwa natafuna vzuri tu.
Sa tabia baadae ikanikolea ,siku moja nikakutana na demu mzuri sana,pisi kali vijana wa leo wanaita ivo. ila katika peleleza yangu nikaambiwa ana ngoma

Sasa kile nilicho kuwa nakifanya ni kupiga na ndom kisha nikiona nafika hatua ya kileleni navua ndom nakojolea ndani kabisa kisha natoka naenda kuosha dudu bafuni huko vzuri kabisa, nikiwa naimani kuwa hawa wadudu hawajaniingia[emoji1][emoji1]

Niliendelea na tabia yangu hiyo hiyo ya kuvua mpira ili nikojoe ndani kwa mda ,ila kuna siku nilikaa nikajiuliza hiki ninacho kifanya ni nini?!
Kiukweli nilikuwa nacheza na hatari sana kisa tamaa za mda mfupi.Mdada alikuwa mzuri sana ila hiyo haikuwa salama kwangu kufanya hivyo.

Kitabia cha kukojolea ndani ukikizoea ni kibaya sana kwani hautakuwa unaweza hata kutumia kondom ipasavyo[emoji849]na kuna wakati kondom hupasuka kutokana na kupaia mechi,hii imenikuta sana
Unakuta upo kwenye mgegedo na umekolea hasa ,mara paaa ngoma imeachiwa halafu kitu ndo inazama zaidi ndani

Amini kuchomoa ni ngumu sana ,wengi huwa wanaunganisha kavu tu hadi pale wazungu watakapo toka[emoji2]

Ni bora kupima kabla ya tendo ,rapid test ni nyingi, nunua test zako kaa nazo ,zingatia matumizi yake vyema.Nina amini kabisa ni ngumu mtu kukuambukiza HIV ambayo haiwezi kuonekana katika vipimo vya kisasa kwa sababu virus wanakuwa bado hawajawa strong mwilini ndio mana hata kuonekana inakuwa ngumu,in case ya maambukizi mapya(window period)
 

Aisee, kwa hiyo wanawake hawa wenye route za mikoani mikoani za kikaz wanapigika sana huko ma hotelini wanakofikia?
 
Mzee ulibeti kweli kweli[emoji16][emoji16]. Ila aisee ile kitu achana nayo, yani unaweza ukatoka huko umejipanga na makondom yako ukifika pale mkipiga foreplay tu akili inaruka, hapohapo unakuwa ushamchukua na vipimo na majibu yamekuja negative.
Then kuna kitu kinakuja kichwani "aargh piga tu hvyohvyo yuko fresh huyo", na wew unajipa moyo "kikubwa utelezi uwe wa kutosha tu kusiwe kukavu sana kuepuka michubuko".
Unakuja kushtuka unapigwa shoti moja kali[emoji16][emoji16]
 
Hili gonjwa salute, Kuna jirani mmoja aligoma kunywa dawa ATI kachoka.
Mwsho wa siku akinywa maji hata hahitaji kukojoa Kwa mb,ooh maji yalikua yanatokea kwenye mbavu za chini tumbo lilipasuka Kwa majipu makubwa ikawa ni direct unakunywa yanamwagika.

duuh[emoji3064]
 
Hatari sana aiseee huu ugonjwaa noma sanaa...!!
 
hii ishamtokea mwenzetu flan huko. yy alikutana na ile mishangaz yenye mi.tako kama mlima sayuni sasa bana mwenyew akajiapiza kabisa kwa jina la muumba wake kuwa kamwe hatapiga kavu! sasa akazama na bando lake la kondom kukutana na bidada. bwana bwana bwana sasa pale mwanzo yale mambo ya kupekecha mb.00 juu ya vile vilima si hali ya hewa ikabadilika bana. joto uko chini likaongezeka likawa joto la raha ya kufa mtu na kuanza kusongasonga fikra za jamaa yetu mithili ya masuke ya mibaazi. akili za jamaa yetu zikahama kabisa anakuja kutahamaki pambano limeisha na hakuna chembe ya ndom iliyohusika.
 
Mda huo kichwa cha juu kinakuwa blocked, ni cha chini tu ndio kinafanya maamuzi. Na hapo ndio unajikuta unafanya maamuzi ya hovyo, kubet dk 90 au unabeti kipindi cha pili[emoji38]. Omba Mungu tu akuachie ka starter pack tu kama uti maana shoti inavuruga mfumo mzima wa maisha yako yaliyobakia hapa duniani!
 
Kijijini kwetu ulifyeka kijiji kizima, wamebaki watu wachache sana, nyumba ni nyingi kuliko watu.
Vijana kutoka mikoa mingine wanajikalia bure kwenye nyumba zilizoachwa
Wapi huko
 
Ni kweli lakini hata kama ukiupata ukajikubali maisha yanaenda arv si zipo.

Shida ni kama itafika siku hao wanaleta dawa wakisema hawazileti tena au wanaleta lakini watu wazilipie hapo patakuwa pagum kwa nchi zetu hizi.
 
Ni kweli lakini hata kama ukiupata ukajikubali maisha yanaenda arv si zipo.

Shida ni kama itafika siku hao wanaleta dawa wakisema hawazileti tena au wanaleta lakini watu wazilipie hapo patakuwa pagum kwa nchi zetu hizi.
Tukianza kuzilipia tutaisha wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…