Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Duuh
 
Duuh
 
Tangu niponee chupu chupu 4 years back Namshukuru sana Mungu! Sitaki tena mambo ya wanawake nilishaikana nafsi yangu na kubaki njia kuu na kufurahia maisha.
Sasa hivi hata mwanamke avue hapo siwezi mgusa na siwezi pata hisia hata kidogo sahizi naishia kuwaangalia tu.

Zawadi alizotupa mwenyezi Mungu ni Uhai na Afya njema aiseeh huwa namshukuru sana.
Uhuni hauna dili maana hakuna Jipya huko. Ni kuaminiana tu na mwenzako na kuishi kwa furaha na ku enjoy life.

NB; Nasema hivi sikia tu kwa wengine hiyo kitu. Sasa hivi mfano ukiambiwa umetembea na mtu kaumia lazima tumbo la gafla la uharo likushike na wakati hauumwi..hiyo kitu sikia kwa mwingine...
 
96 nimeondoka iringa,ila ukimwi ulikuwa ni kama iphone kwa sasa,yaani kulia,kushoto,pembeni lazima ukutane naye mtu anaishilizia au ndio kauvagaa.

Nimezika baba mkubwa akiwa mwanajeshi 95 aliisha vibaya,nakumbuka alirudishwa kijijini aje ajiuguze,mtu anaisha akiongea sauti ni kubwa ila ukimuona mpaka unashangaa kama ndiye alikuwa anaongea au lah!!!!

Jirani nayeye alikuwa wmaanjeshi niliacha ndio anaishia,akamuachia mkewe mama alikuwa mzuri mweupe nayeye akawa anagawa tu kwa wenye pupa.

Baada ya kwenda moro kwa aunt 98 aunt yangu alirudi iringa kusalimia,99 kumbe alikwenda kuubeba bana,akarudi moro na kuanza kuugua mfululizo 2001 tukamzika,nakumbuka nilikuja kushtuka baadae kwamba ilikuwa short maana katikati aliumizwa na kisiki,kidonda kilichukua mwaka kinatoa maji tu.

Yaani nikawa kijana si wa kusimuliwa kuhusu ukimwi naujua vyema sana,nauogopa.
 
Kijiji hicho kinaitwaje ndugu kwa ndugu mbona balaa
 
Nikiwa same sec miaka ya 2000,..nikiwa kitandan ghafla nikaamshwa..nikiangalia ni binti anaepita katikati ya vitanda vya bweni..nikashangaa Mana ilikuwa ni mida ya usiku Sana..na ni bweni la wanaume huyu binti anafanya Nini,..ebwana nikamwita..jina Amina ,..sijui kwann Hilo jina lilinijia...ndugu zangu kumbe niliharibu..kuliita jini lililokuwa mawindoni..ndugu zangu nlishangaa tayari limekuja upande wangu ,..likanishika tai..na kwa vile kitanda changu kilikuwa ni Cha deka la juu...nlipambana kwa Hali na Mali ,.ili tu asinidondoshe chini Mana kichwa kingepasuka Kama ningekubal anizid nguvu...

Aiseee baada ya dakika kadhaa ,..jini yule akapanda kitandani ghafla..akawa ananletea uchi wake nimfanye..huku akiongea maneno yaliyoniogopesha haswaa...kwamba anataka anionyeshe vidonda vya ukimwi vinapatikanaje...dah hapo ndo nikaona nikizembea huyu jini atanizidi nguvu ...na lengo lake litimie..Cha ajabu pamoja na wasi wasi huo wote mashine yangu ilikuwa imesimama wima,. Huku nikijaribu kumpush asinilalie kabisaaa...

Ndugu zangu ,..Cha ajabu jini huyo nlikuwa simuoni sura Wala miguu zaidi ya kiwiliwili tu chenye shanga za kutosha...baada ya kukikirisana zaidi ya saa zima..hatimae nikamshinda nguvu na hatimae akaamua kushuka kwa Kasi ya 5G na kutokomea kusikojulikana..akiniacha Mimi nikiwa hoi kwa shughul nzima ya kupambana nae..ndugu zangu ukimwi wa kutupiwa na majini upo ..hapo nliamini..

Ukimwi ni noma ndugu zangu ,..next time ntawaletea kisa Cha jirani yangu mama tunu (marehemu),..wa kigogo luhanga dsm..karibu na msikiti wa masjid kadir ya mgaza kwa mzee darusi
 
Mkuu hii story kama haijaisha hivi,au unataja tusogelee telegram au tununue kitabu??
 

Attachments

  • IMG-20240812-WA0009.jpg
    32.2 KB · Views: 5
Chai
 
Duuh leta hicho kisa mkuuu
 
Wajuzi wa mambo hivi huu ugonjwa wa mkanda wa jeshi ndo ugonjwa gani, chanzo chake na madhara yake pia ni yepi??
Kitaalamu unaitwa herpes zoster

 

Attachments

  • images (4) (5).jpeg
    7 KB · Views: 12
  • images (4) (3).jpeg
    4.5 KB · Views: 4
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…