Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Ndugu yangu mzabzab ndiye pekee amekiri wazi, anastahili tuzo huyu mwamba. Sie wengine zaidi ya porojo hatuna la kuongeza 😅😅😅 japo mimi status yangu kweli siijui, sijui lini nitapata ujasiri wa kutoboa kidole.
Kujua afya yako ni muhimu mkuu japo kwa mara ya kwanza inataka moyo. Na uzuri saivi unaeza kujipima mwenyewe tu ukiwa home kwako unapata gahawa. Ukiwa +ve ukaanza dawa mapema hautaadhirika inabaki kuwa siri yako na hao utaochagua kuwaambia. Ila ukichelewa hadi afya ikazorota watu wengine ndo wanakuchukulia majibu ya vipimo hapo ndo siri hamna tena.
 
Hahaha wee chukua kombe bwana sio kila msimu unatoka kapa. Hamnaga faida ya kwenda kaburini viungo vyote vikiwa brand new
🤣🤣🤣Inatakiwa kuukabidhi mwili kwa muumba umeutumia ipasavyo au vipi?maini yameoza,Figo zimebuma,kichakatio kimetumika kimeisha Kama kisu kinachonolewa Kila siku yaani vululuvulu
 
🤣🤣🤣Inatakiwa kuukabidhi mwili kwa muumba umeutumia ipasavyo au vipi?maini yameoza,Figo zimebuma,kichakatio kimetumika kimeisha Kama kisu kinachonolewa Kila siku yaani vululuvulu
Kabisaaaa alafu wee umeambikizwa ngoma unakaaje kizembe zembe lazima na wewe uondoke na wengine kama 20 hivi. Yaani mpaka siku unakata roho hamna kitu cha maana kwenye mwili wako
 
Ivan Stepanov ulichosema ni kweli tupu.
Hayo maeneo uliyotaja nimeishi. Mfano Mlangali, Itundu, Masimbwe kijijini na Masimbwe Secondary, Mkiu, Kiyombo, Lugarawa, Shaurimoyo, Mundindi nk. Kwa mwaka uliotaja inawezekana tulishakutana ila ndio hivyo tena mimi nilikuwa nasoma Ulayasi.
 
Kabisaaaa alafu wee umeambikizwa ngoma unakaaje kizembe zembe lazima na wewe uondoke na wengine kama 20 hivi. Yaani mpaka siku unakata roho hamna kitu cha maana kwenye mwili wako
Aaah Acha kuusambaza mkuu....utatumalizia taifa changa la Tanzania ERoni Hebu muonye huyu ndugu yako aana mpango wa kuondoka na watu 20🙆🙆🙆🙆ikipiga Ile circle isije ikatuangukia jamani
 
Aaah Acha kuusambaza mkuu....utatumalizia taifa changa la Tanzania ERoni Hebu muonye huyu ndugu yako aana mpango wa kuondoka na watu 20🙆🙆🙆🙆ikipiga Ile circle isije ikatuangukia jamani
Ikuangukie kivipi tena jamani. Wee sii umesema kuwa hutomabanagi na wasio na hela🤣🤣🤣🤣
 
Haa haa mi nimesema lini hayo maneno mbona unaniwekea maneno mdomoni🙆🙆?Halafu kumbe wenye hela hawana HIV au?
Wenye hela hawawezi kuwa na mawazo ya kimaakini kama yangu ya kuusambaza bwana wewe. Sie maskini ndio tuna roho mbaya chafu kutupwa. Wee gegedana na wenye hela tuu sie makapuku usituguse
 
Uzuri tu haya mambo ni siri.
Sisi kwetu Aunt yetu anaishi na maambuki haya, na tumekuja kujua miaka ya hivi karibuni baada ya kutokea maugomvi kwenye familia.. Watu ndy kutoleana siri sasa..

Binafsi nilikuwa nashangaa mbona huyu anatupinga sana kuhusu kuvaa viminyi sijui kwenda clubs yan tukitoka anatusema mpaka, kumbe alikuwa anatulinda tusije kupata majanga kama yake. Ila mpaka saizi yupo anadunda tu na huwezi mjua anajipenda sanaaa
 
Back
Top Bottom