mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
kabisa kabisa😂 na notes anagawa buure...Vijana mpo tayari kupokea makombe ya uchezaji mahiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa kabisa😂 na notes anagawa buure...Vijana mpo tayari kupokea makombe ya uchezaji mahiri?
Na hizo ARV unazokunywa Nasikia ndio zinakupa maruweruwe kibao,au ndio maana unakuwa mwehumwehu ndugu yetu🤔🤔🤔?Sii wanasemaga kuna ukichaa wa ukimwi...labda virusi vilishaanza kufika kwa ubongo🤣🤣🤣🤣🤣
Mie situmii arv weweNa hizo ARV unazokunywa Nasikia ndio zinakupa maruweruwe kibao,au ndio maana unakuwa mwehumwehu ndugu yetu🤔🤔🤔?
Hujaanza dozi?🤔Mie situmii arv wewe
hamna unajua ukiogopa sana ukimwi haisaidii... chamsingi ni kujikinga, au kama unaweza usifanye kabisa 😅Sio kila notes zinafaa mdogo wangu🙆🙆🙆Huyo mzabzab ni mwehu
Hizo ndio unapata mawenge. Hapa ni mazoezi maji mengi, kula vizuri na kuendelea kugegeda tuu na kutokuwa n mke. Maana mke anakuletea stress na huu ugonjwa hautakiwi uwe na stressHujaanza dozi?🤔
Aaah 🙆🙆🙆🙆hao wagegedwaji kazi wanayoHizo ndio unapata mawenge. Hapa ni mazoezi maji mengi, kula vizuri na kuendelea kugegeda tuu na kutokuwa n mke. Maana mke anakuletea stress na huu ugonjwa hautakiwi uwe na stress
Yeah kikubwa ni kujikinga,kutofanya kabisa ni ngumuhamna unajua ukiogopa sana ukimwi haisaidii... chamsingi ni kujikinga, au kama unaweza usifanye kabisa 😅
mimi naogopa cancer kuliko UKIMWI.... cancer haitabiriki huwezi jikingaYeah kikubwa ni kujikinga,kutofanya kabisa ni ngumu
Kivipi jamaniAaah 🙆🙆🙆🙆hao wagegedwaji kazi wanayo
Teh teh daahNa hawa mademu huku kama hawataki nataka na milio fulani kutaka izame yote.Hali ya ukimwi kwa sasa ni mbaya zaidi.TABIA YA KUKUINGILIANA NYUME NA MAUMBILE NDO KABISA.UKIONA DEMU ANAFANYIWA VITU VIKUBWA UJUE ANATOA MDUARA NAJISI. Watch out
Weka picha tuone maparachichi yalivyokuimarisha[emoji16][emoji16]Acha uwoga wewe mbususu tamu mbona mie nina ngoma mwaka wa 16 huu na nina dunda tuu yaani kwanza arv simezi lakini ni mwendo wa matizi maparachichi matikiti karanga mbichi mlenda na mazagazaga kibao bila kusahau maji mengi
Njoo pm mrembo....jamani mbona silioni tako lakoWeka picha tuone maparachichi yalivyokuimarisha[emoji16][emoji16]
Ila saratan sio poa aisee.. kuna jirani alikuwa positive kitambo tu ila alipokuja kujulikana na kansa ilimtafuna bila huruma, alioza akiwa anajiona kabisa, aliisha akawa kama mtoto yani hata waliokuwa wanamuuguza walikuwa wanaogopa!!Wewe neenda kwenye wadi ya saratani ndo utajua ukimwi ni cha mtoto na inaua watu wazima na consciousness yao kwa % kubwa, kule cancer inaua watoto wadogo wazee vijana, masikini wenye pesa kila aina ya mtu. Ukimwi ni hatari ila is over rated kwasbb ni ajira kwa mashirika mengi na misaada kwa serikali zetu........je wa jua kwamba Malaria inaua watu hapa Africa Tanzania ikiwemo kuliko HIV? kila baada ya dakika 3 kuna mtu anakufa kwa Malaria hususani watoto walioko chini ya 5yrs infants......mtu anauwezo wakuishi na ukimwi kwa zaidi ya miaka 30, kinacho ua wa Tanzania ni umasikini ulio kithiri kupata chakula sahihi na dawa kwa wakati ila sio HIV
Hiyo ni kweli ,kuna mdada mmoja nilikuwa nasikia ana Hiv ila nikamwamabia kwenda kupima akasema haina shaka ,sa kutokana na kauri yake ya haina shaka mi nikajiaminisha kuwa atakuwa fresh tu.Zishukururiwe Arvs pia kwa kupunguza kiwango cha maambukizi. Mtu anayetumia dawa kwa usahihi ana asilimia mdogo sana za kuambikiza kwa sababu ya idadi ndogo ya virus mwilini.
Mungu mwema mkuu...aendelee kutulinda sananimesoma thread hii comment moja hadi nyingine, nimejikuta napata kiwewe sana cos umegusa familia yangu kwa kiasi kikubwa
1999 nilimpoteza mjomba alikuwa handsome aise mimi nilikuwa mdogo ila nilikuwa natamani niwe handsome kama uncle alikuwa deleva wa askofu huko njombe, alio mke wa kwanza akafariki bila yakupata mtoto akaoa mke wapili wakapata watoto 2 (ke na me)
Mjomba alikuwa kiwembe akamwambukiza mke, mtoto wa kwanza negative mtoo wapili ikasoma postive
Akafariki yeye 1999 akafata mke 2001 na wa mwisho akafata mtoto 2007, mjomba angu mwingine nae aliumwa TB akapona 1999 hadi 2001 akapona kabisa na hakuwa na UKIMWI sijui nini kika mkumba 2008 akaenda kuoa mtu ana UKIMWI baada ya muda tukampoteza tena alikuwa anajua kabisa ila tamaa zilimzidia cos mwanamke alikuwa cheap na huyu mjomba alikaa miaka 10 kwa maelezo yake yeye bila kugusa mama alimchukua apozee tu kupima + akaamua kuoa kabisa
Hadi mimi mwenyewe nilijihisi ninao cos wazazi wangu wote wamefariki na mimi ni last born baada ya kufuatilia sana kilichowaua wazazi wangu nikagundua ni TB sio UKIMWI kwenda kupima nikajikuta nipo fresh
Nilikuwa naogopa UKIMWI sana na sikuwahi kusa Ke hadi nilipo oa na Mungu mwema saivi ni baba wa watoto watatu na wana afya njema kabisa