Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

Sii wanasemaga kuna ukichaa wa ukimwi...labda virusi vilishaanza kufika kwa ubongo🤣🤣🤣🤣🤣
Na hizo ARV unazokunywa Nasikia ndio zinakupa maruweruwe kibao,au ndio maana unakuwa mwehumwehu ndugu yetu🤔🤔🤔?
 
Na hawa mademu huku kama hawataki nataka na milio fulani kutaka izame yote.Hali ya ukimwi kwa sasa ni mbaya zaidi.TABIA YA KUKUINGILIANA NYUME NA MAUMBILE NDO KABISA.UKIONA DEMU ANAFANYIWA VITU VIKUBWA UJUE ANATOA MDUARA NAJISI. Watch out
Teh teh daah
 
Acha uwoga wewe mbususu tamu mbona mie nina ngoma mwaka wa 16 huu na nina dunda tuu yaani kwanza arv simezi lakini ni mwendo wa matizi maparachichi matikiti karanga mbichi mlenda na mazagazaga kibao bila kusahau maji mengi
Weka picha tuone maparachichi yalivyokuimarisha[emoji16][emoji16]
 
Maeneo yoote yanayokusanya sehem moja watu wa maeneo tofautitofauti ni hatari. maeneo ya migodi, bahari,maziwa,mashamba makubwa ya mbao,chai,kahawa..mm watu wa njombe, iringa, mbeya, kanda ya Ziwa yote nawaheshim.
 
Wewe neenda kwenye wadi ya saratani ndo utajua ukimwi ni cha mtoto na inaua watu wazima na consciousness yao kwa % kubwa, kule cancer inaua watoto wadogo wazee vijana, masikini wenye pesa kila aina ya mtu. Ukimwi ni hatari ila is over rated kwasbb ni ajira kwa mashirika mengi na misaada kwa serikali zetu........je wa jua kwamba Malaria inaua watu hapa Africa Tanzania ikiwemo kuliko HIV? kila baada ya dakika 3 kuna mtu anakufa kwa Malaria hususani watoto walioko chini ya 5yrs infants......mtu anauwezo wakuishi na ukimwi kwa zaidi ya miaka 30, kinacho ua wa Tanzania ni umasikini ulio kithiri kupata chakula sahihi na dawa kwa wakati ila sio HIV
Ila saratan sio poa aisee.. kuna jirani alikuwa positive kitambo tu ila alipokuja kujulikana na kansa ilimtafuna bila huruma, alioza akiwa anajiona kabisa, aliisha akawa kama mtoto yani hata waliokuwa wanamuuguza walikuwa wanaogopa!!
 
Zishukururiwe Arvs pia kwa kupunguza kiwango cha maambukizi. Mtu anayetumia dawa kwa usahihi ana asilimia mdogo sana za kuambikiza kwa sababu ya idadi ndogo ya virus mwilini.
Hiyo ni kweli ,kuna mdada mmoja nilikuwa nasikia ana Hiv ila nikamwamabia kwenda kupima akasema haina shaka ,sa kutokana na kauri yake ya haina shaka mi nikajiaminisha kuwa atakuwa fresh tu.
Nilianza kula mzigo kwa speed kubwa mno,baada ya mda kuna mdada flani ni family member akaja nijuza pia nirafiki yake sana ,akanambia nasikia unatembea na fulani ila huyo kaathilika siku nyingi na alikonda sana siku za nyuma,kuwa makini.

Kwa kweli japo sikumpima ila nina imani ni mwathilika hadi sasa kutokana na kukuta vidonge vya arv kwenye chumba chao alikuwa akikaa na mdada wa kiarabu hivi ambae nae ni mwathilika pia.

Kweli ni asilimia ndogo sana ya kuambukiza kwa mtu anae tumia arv ipasavyo.

Mkasa mwingine ,kuna kipindi nilikuwa kanda ya ziwa maeneo ya mwanza nyakato ,kuna club fulani nilienda na jamaa yangu ,siku hiyo tulikuwa pombe vibaya ,mida ya saa saba night hiyo nikaona demu anadance vzuri nikamuita ,piga nae story tukaelewana,tukangoka room ,kulikuwa na guest maeneo ya karibu.

Demu alitoa kondom anivalishe mimi nikasema no ,nokamwambia kama huniamini kesho tutapima, alinikazia sana nivae ila baadae akaubali kwa shida nikapiga kavu ,nilipiga sana mana alikuwa mrembo na kitandani anatoa ipasavyo .
Nilimla ipasavyo hasaaa,ile ki sana yani

Asubui tukaachana ila hatukupima ,ikapita wiki moja nikamcheki tukameet tena ,nikatafuna sana tu ,ila mara hii sasa nikataka tupime ,nikamwambia akakataa kata kata ,nikambembeleza nikamwambia we twende tukapime ila majibu nitasubr mie wewe utaendelea na mambo yako na zaidi ya yote nakupa hela nzuri ukafanye mambo yako.

Alikubali tukaenda akatolewa damu yy na mimi pia ,yeye akasepa ,kwa kuwa sisi niwapenzi dokta tulimwambia ni ruksa mtu yoyote kuchukua majibu mana sisi tushakubalia,dokta hakuna na neno

Baada ya vipimo dokta akaniita ,akauliza mwenzako yupo wapi,nikasema katangulia nyumbani,akasema sawa.

Majibu yametoka ,wewe upo salama ila huyu mwenzako inavyo onekana ana maambukizi
Du!! Nilichoka nikaunganisha doti nikajua kuwa huenda anatambua ndo mana alitia ugumu kupima.
Nilipata tabu sana hadi kuanza kumeza dozi ya mwezi mmoja ili kama nitakuwa na maambukizi ya awali nipate namna ya kujinusuru.

Ila yote kwa yote nilikuwa nishamla tangia wiki moja iliyo pita na kama mda wa kujinusuru ulikuwa ushapita,hivyo nilikuwa najaribu tu bahati yangu ila lolote lile lingetokea ,kiufupi nilikosa amani ,na zaidi ya yote nilikuwa na mke na mtoto mdogo ananyonya.
Nilisimangwa sana na manesi wa kutoa zile dawa.Nifanyiwa mpango na yule dokta wa kukutanishwa na manesi wa kitengo cha ukimwi

Kufupisha story yule dada alikuwa mwathirika na alikuwa akijitambua na alikuwa akimeza dawa,nazani kilicho niokoa ni yeye kumeza dawa na risk ya kuambukiza kupungua,au ni zile dawa za dharula ingawa nilimeza ikiwa wakati umeshapita japo sina uhakika kama zilisaidia au laa! Nilpima baada ya kumaliza dozi nikawa sina maambukizi

Tuweni makini jamani kuna wakati sisi kama vijana na nguvu kazi ya Taifa huwa tunafanya mambo ya kijinga mno kiasi cha kufikia kuhatarisha hata afya zetu
 
nimesoma thread hii comment moja hadi nyingine, nimejikuta napata kiwewe sana cos umegusa familia yangu kwa kiasi kikubwa
1999 nilimpoteza mjomba alikuwa handsome aise mimi nilikuwa mdogo ila nilikuwa natamani niwe handsome kama uncle alikuwa deleva wa askofu huko njombe, alio mke wa kwanza akafariki bila yakupata mtoto akaoa mke wapili wakapata watoto 2 (ke na me)
Mjomba alikuwa kiwembe akamwambukiza mke, mtoto wa kwanza negative mtoo wapili ikasoma postive

Akafariki yeye 1999 akafata mke 2001 na wa mwisho akafata mtoto 2007, mjomba angu mwingine nae aliumwa TB akapona 1999 hadi 2001 akapona kabisa na hakuwa na UKIMWI sijui nini kika mkumba 2008 akaenda kuoa mtu ana UKIMWI baada ya muda tukampoteza tena alikuwa anajua kabisa ila tamaa zilimzidia cos mwanamke alikuwa cheap na huyu mjomba alikaa miaka 10 kwa maelezo yake yeye bila kugusa mama alimchukua apozee tu kupima + akaamua kuoa kabisa

Hadi mimi mwenyewe nilijihisi ninao cos wazazi wangu wote wamefariki na mimi ni last born baada ya kufuatilia sana kilichowaua wazazi wangu nikagundua ni TB sio UKIMWI kwenda kupima nikajikuta nipo fresh
Nilikuwa naogopa UKIMWI sana na sikuwahi kusa Ke hadi nilipo oa na Mungu mwema saivi ni baba wa watoto watatu na wana afya njema kabisa
Mungu mwema mkuu...aendelee kutulinda sana

huyo mjomba ako wa TB inawezekana mwanzo aligusa mwenye ukimwi but akaponea chupuchupu akapata TB..
Hiyo ipo ipo TB kuipata sio rahisi sana

Mimi mwenyewe nilipona ukimwi nikapata TB aiseh utulivu nilionao sahizi sio wa sayari hii.

Watu wagonjwa sana yani wazuri sana wengine na ni wameumbika ila wagonjwa.
 
Back
Top Bottom