Underwood
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 1,909
- 3,120
Oya tutupie link mkuu
Hata mimi sikumbuki jina la uzi mkuu lakini sijui kwanini wachangiaji walikuwa wachache sana na mchangiaji wa kwanza alichangia baada ya muda mrefu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya tutupie link mkuu
Kilichozungumziwa apo mateso ya ukimwi ni ukijumlisha viugonjwa vyote ulivyovitaja apo uweke na kipindupindu juu yake ndo unafikia ngwengwe key word #matesoWewe neenda kwenye wadi ya saratani ndo utajua ukimwi ni cha mtoto na inaua watu wazima na consciousness yao kwa % kubwa, kule cancer inaua watoto wadogo wazee vijana, masikini wenye pesa kila aina ya mtu. Ukimwi ni hatari ila is over rated kwasbb ni ajira kwa mashirika mengi na misaada kwa serikali zetu........je wa jua kwamba Malaria inaua watu hapa Africa Tanzania ikiwemo kuliko HIV? kila baada ya dakika 3 kuna mtu anakufa kwa Malaria hususani watoto walioko chini ya 5yrs infants......mtu anauwezo wakuishi na ukimwi kwa zaidi ya miaka 30, kinacho ua wa Tanzania ni umasikini ulio kithiri kupata chakula sahihi na dawa kwa wakati ila sio HIV
Una ujinga (siyo tusi) mwingi sana.Mnakufa na magonjwa yenu ya kifua kikuu, malaria na magonja ya zinaa yale ya kawaida kama visonono, vipindupindu, kaswende mnakuja kusingizia UKIMWI.
Hilo gonjwa ambalo halieleweki mdudu gan anaelieneza wala harakati zake hazielewek then nyie madactar wa michongo mliofaulu Vyuo vya kukalili bila research yoyote ya msingi mliyofanya mnakuja kutishia watu.
UKIMWI hauuwi, maana haupo, kinachouwa ni magonjwa ya kawaida ambayo hapo kabla wanasiasa na matabibu vibaraka walituaminisha magonjwa yaliyouwa sana ni UKIMWI ili kujenga hofu ktk jamii ikiwa kama Utangulizi wa ujio wa biashara ya chanjo za uongo na ARV.
Msidanganye eti UKIMWI uliokuwepo hapo zaman ni tofauti na sasa, UONGO MKUBWA, kwanini ugonjwa huu ubadirike lkn magonjwa mengine hayabadiriki licha ya madawa kugundulika kila siku?.
Jiulize kwann UKIMWI pekee umekuwa ukitungiwa sababu nyingi za kuuficha ficha na kuutetea sana uonekane gonjwa lililoshindikana?.
Wauguzi, madactari na wanasiasa ni mawakala wa hao baadhi ya wazungu walioamua kuifanya afya ya binadamu/mtu kuwa sehemu ya michezo yao michafu ya kibiashara na majaribio haramu.
UKIMWI+VVU ni vitu viwili tofauti, Ukimwi hausababishi VVU wala VVU haiuwi maana kiuhalisia haipo bali kuna mkusanyiko wa magonjwa yaambukizwayo kwa njia ya blood transfussion na migusano ya ngozi, ambapo hao wahuni tunaowaamini kuwa madactari waliamua kuyaita magonjwa hayo kwa jina moja yaani HIV/AIDS.
Kiuhalisia hayo magonjwa yanatibika vzur sana.
Huwa nasema kuwa, biashara ya kudeal na Afya ya watu ni mtaji tosha pia inalipa, just imagine hata hapo mtaan kwako kuna pharmacies ngapi? hospitali binafsi kila siku zinaongezeka, viwanda vya madawa daily vinaongezeka licha ya technology ya utabibu kukua lkn why magonjwa hayaishi?
Sababu magonjwa ni UCHUMI wa watu kupitia usambazwaji wa madawa feki, utibabu wa magonjwa ya uongo, kuundwa kwa magonjwa feki, haya yote ni biashara eleweni enyi wapumbavu mliofungwa macho kupitia media na elimu za kipuuzi huko mashuleni.
UKIMWI haujawai kumuua mtu yeyote, anaebisha alete uthibitisho wa kisayansi hapa, hao ndugu zenu wamekufa kwa malaria, ukosefu wa lishe, kifua kikuu na makansa huko mnakuja kusingizi upuuzi ili kujenga hofu.
Wake up guys.
Ni mpumbavuuu huyoo anajua ukweli ila unaupindishaaa ilo aonekane ana akilii kumbe zero brain...!! HIV is really aiseee hatari sana hiyo kituuuu yani mtu anaedhani ukimwi haupo ana matatizo ya akili..Una ujinga (siyo tusi) mwingi sana.
Kunawatu wanautetea sana ukimwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba ni ugonjwa mdogo, kunakitu sio bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mpumbavuuu huyoo anajua ukweli ila unaupindishaaa ilo aonekane ana akilii kumbe zero brain...!! HIV is really aiseee hatari sana hiyo kituuuu yani mtu anaedhani ukimwi haupo ana matatizo ya akili..
Usipoteze watu hapa mtu akitumia vizuri dawa kuna wakati hizi rapid tests husoma -ve hata kama uyo mtu ni +ve. Tuwe makini jmn.Uongo hata unywe ARV miaka 100 Bioline ina detect chapu kwa haraka
Duuh inasikitisha sana ,kijiji gani hicho? Makete nasikia ilifyeka sana!Kijijini kwetu ulifyeka kijiji kizima, wamebaki watu wachache sana, nyumba ni nyingi kuliko watu.
Vijana kutoka mikoa mingine wanajikalia bure kwenye nyumba zilizoachwa
Watu wanasema UKIMWI ni kama mafua, ila usiombe kumwona mgonjwa wa UKIMWI anayekaribia kufa. Tuendelee kujilinda na kuepuka ngono zembe
Ugonjwa usio na dawa ya kutibia hauwezi kuwa mdogo au wa kawaida. Hizi gono, syphilis yalikuwa magonjwa hatari kabla ya kugundulika dawa za kutibia ziliuwa hadi wafalme miaka iyo dawa hakuna lakini saivi yanaonekana ni magonjwa ya kawaida kwa saabu unapata dawa zipo kibao tena unazipata apoapo kwenye famasi ya mtaani kwako tu. tuendelee kuomba dawa ya kutibu ipatikane.Kunawatu wanautetea sana ukimwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba ni ugonjwa mdogo, kunakitu sio bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha kupima mkuu, nina muda mrefu sijapima,, japokuwa ukimwi hauji kwa kufanya ngono tu, kuna hii kutengeneza kucha kwa wanawake 🙄nina wasiwasi sana na huu urembo ndo hiyo mtu chini hupatumii ila unakwaa ngwengwe,, unaweza kujiua walahi,
Issue siyo Tohara. Mafinga wanatiana sana sababu ya hali ya hewa na pia magari makubwa mengi yanapiga kambi pale. Sisi wengine tumefanya research ni mji unaokua sana. Na una mchanganyiko mkubwa kama mleta mada alivyosema. Hali ya baridi na vyakula pale watu wanatiana masaa 24.Nilivyo ona neno Mafinga Iringa, nimeishia hapo kusoma...
Nyanda za juu kusini hasa hasa Iringa, ukimwi upo kila nyumba kila mtaa, si jambo la kushangaza...
Sababu 1. Imani potofu kuhusu tohara; hivyo jamii kubwa haijapata tohara na kisayansi mtu govi ni rahisi kupata michubuko na maambukiz ya UKIMWI wakat wa kujamiana
Brush sio shida sana kuna vile vya kutoa uchafu kwenye kucha ninavyo lakn siwezi kutembea navyo muda wote, japo ingekuwa hivyo nadhani maambukizi yangekuwa juu sana ni km saluni na kunyoa,. Kuna mdau kasema virusi vya ukimwi haviwezi kuishi nje ya mfumo wa damu hata kwa dakika 1,, sielewi kwakweliDuuuh hatari ,na pedicure na manicure ,wanasugua miguu na mikono kwa brush si ndiyo muambukizana tu ni kama kutumia mswaki mmoja.
Uchagani huko,Duuh inasikitisha sana ,kijiji gani hicho? Makete nasikia ilifyeka sana!
Uchagani huko,
makete niliwahi fika pia, tulishuhudia magofu ya kutosha
Brush sio shida sana kuna vile vya kutoa uchafu kwenye kucha ninavyo lakn siwezi kutembea navyo muda wote, japo ingekuwa hivyo nadhani maambukizi yangekuwa juu sana ni km saluni na kunyoa,. Kuna mdau kasema virusi vya ukimwi haviwezi kuishi nje ya mfumo wa damu hata kwa dakika 1,, sielewi kwakweli
Itakuwa njema sana kama ni hivyoYes HIV wanakuwa inactive wwakiwa nje ya damu na ndiyo maana % kubwa ya maambukizi inatokana na NGONO ZEMBE.
Kwa mujibu wa baiolojia ya kidato cha pili che; virusi (vikiwemo vya UKIMWI) vina sifa zote za viumbe hai na visivyo hai.Brush sio shida sana kuna vile vya kutoa uchafu kwenye kucha ninavyo lakn siwezi kutembea navyo muda wote, japo ingekuwa hivyo nadhani maambukizi yangekuwa juu sana ni km saluni na kunyoa,. Kuna mdau kasema virusi vya ukimwi haviwezi kuishi nje ya mfumo wa damu hata kwa dakika 1,, sielewi kwakweli