Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Good,majitu mapumbavu sana, sitisha mkuuNaona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good,majitu mapumbavu sana, sitisha mkuuNaona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.
Mkuu tupo tunaotaka story....Naona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.
Haa, hata kama ni ndugu ama mtu wa karibu kisa dini? Mbona na walikuwepo watu wengine mimi nilikuwa kama msaidizi tu kumbuka nilipewa hiyo heshima.Wewe kuosha mwili wa marehemu tena Muislamu ngumu sana sana sana kama ngamia kupita tundu la sindan hasa km siyo Muislam.
Simamia hapa.Nitaelezea hii story ya maisha yangu ya Kwamsisi niliishi ndani ya muda mfupi si zaidi ya miezi mitatu nikiwa kama mwalimu, kwa mwenye kuamini atafuatilia uzi huu kama hamuamini siwezi kuwalazimisha.
Naona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.
Ukiutengua kiroho kimwili inakua hivo. Ulimwengu wa roho umebeba signals za ulimwengu wa mwili. Ili mtu aharibu maisha ya mtu anaharibu ulimwengu wa roho yako ndio kinatokea mwilini.Yaan wewe ukautengua mguu wa mtu aliekuja ki roho? okei naishia hapa, hii chai siwezi kunywa kwenye jua kali kiasi ichi.
Hapa sasa ndio kuna mkanganyiko aelezee vizurNa akapita ukutani 😂😂😂
Yaani wanapenda sana kubembelezwa kilichomfanya asuse hapo ni ninii ye ni mgeni jf wanakera sanaaamfyuuu zako. Mnaoleta stories JF mnaringa jamani kero tupu. Haya beba chaki ukapambane hatukubembelezi
Ulivyomkabili kila mtu alimuona, na ulipomtengua mguu, kila mtu aliona, maana ni kimwili?Alikuja kimwili, si kiroho.
Nahisi wewe ni miongoni mwa watu wasiojitambua yaani mbulula no Moja.Huku jf tunakuja kerelax
Hizi nguvu unazotumia za kukosoa nyuzi za watu ambao hata uwajui zitumie kwenye maisha yako
JF ni jukwaa la watu wanaofikiri, hivyo licha ya kusoma, yeyote nwenye Akili timamu atakuwa na maswali ya hapa na pale. Maswali yasikukwaze, eleza mkasa ili watu wajifunze, wewe ni mwalimu, hapa unatupa somo na maswali yatakuwepo mtu asipoelewa.Naona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.
Ulisema maneno gani wakati unamuosha huyo maiti? Hakunq heshima kwenye jambo la maiti hata ukiwa rais utaoshwa na waliowaislam tuuu.Haa, hata kama ni ndugu ama mtu wa karibu kisa dini? Mbona na walikuwepo watu wengine mimi nilikuwa kama msaidizi tu kumbuka nilipewa hiyo heshima.
Kwamba wao hawajipendi !wAchawi wote mbwa
kuna vijiji vitaendelea kuwa nyuma milele na milele..huko ndio walokole wakaweke kambi na sio darisalamu kwa warembo.
Kwa sharti hilo siwezi kufaulu mtihani waoChizi Maarifa wewe Ni wa Tanga sehemu gani? Kama unatokea Lushoto ambàko hakuna wachawi kaa kimya. Tanga wachawi wapo.
Unajua kwamba ukienda kununua utajiri wa kichawi Tanga, mganga mwenyewe ndio anakupa mtaji usio pungua milioni ishirini? Sio huko eti wakinga wananunua na kutoa kafara kwa kuua ndugu.Tanga hakuna kafara la kumwaga damu ya ndugu , sharti Ni moja tu, usitembee na mwanamke wa nje, amini usiamini Hilo sharti hata Mimi limenishinda. Isitoshe na mtaji unapewa. True kabisa sema kiapo chake tu ndio balaa.
Huyo anakimbia changamoto badala ya kupambana nayoAnafanya kazi unafikiri kuondoka ni rahis