Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Naona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.
Mkuu tupo tunaotaka story....

Wee puuza comment lete story.
 
Nitaelezea hii story ya maisha yangu ya Kwamsisi niliishi ndani ya muda mfupi si zaidi ya miezi mitatu nikiwa kama mwalimu, kwa mwenye kuamini atafuatilia uzi huu kama hamuamini siwezi kuwalazimisha.
Simamia hapa.
 
Yaan wewe ukautengua mguu wa mtu aliekuja ki roho? okei naishia hapa, hii chai siwezi kunywa kwenye jua kali kiasi ichi.
Ukiutengua kiroho kimwili inakua hivo. Ulimwengu wa roho umebeba signals za ulimwengu wa mwili. Ili mtu aharibu maisha ya mtu anaharibu ulimwengu wa roho yako ndio kinatokea mwilini.

Mfano Mtu anaweza kwenda wa mganga kukunenea kwamba usifanikiwe, au upate ajali uvunjike miguu, au ile familia wasisome..na mambo yanatokea mwilini kweli hufanikiwi, unapata ajali..e.t.c..kwahiyo mambo ya kiroho bhana acha tu
 
Naona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.
JF ni jukwaa la watu wanaofikiri, hivyo licha ya kusoma, yeyote nwenye Akili timamu atakuwa na maswali ya hapa na pale. Maswali yasikukwaze, eleza mkasa ili watu wajifunze, wewe ni mwalimu, hapa unatupa somo na maswali yatakuwepo mtu asipoelewa.
 
Haa, hata kama ni ndugu ama mtu wa karibu kisa dini? Mbona na walikuwepo watu wengine mimi nilikuwa kama msaidizi tu kumbuka nilipewa hiyo heshima.
Ulisema maneno gani wakati unamuosha huyo maiti? Hakunq heshima kwenye jambo la maiti hata ukiwa rais utaoshwa na waliowaislam tuuu.
 
Jf watu wanakera Sana yaan mtu anasimulia story yake watu wanaleta ujuaji na imekua Ni tabia sasa maana hii story ya tatu msimuliaji anashindwa kumalizia sababu ya ujuaji wa baadhi ya wapuuzi humu ndani itafutwe namna ya kuwadhibiti ili wasiwaaribie wengine wanaotaka kujifunza kutokana na hizo story

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Chizi Maarifa wewe Ni wa Tanga sehemu gani? Kama unatokea Lushoto ambàko hakuna wachawi kaa kimya. Tanga wachawi wapo.
Unajua kwamba ukienda kununua utajiri wa kichawi Tanga, mganga mwenyewe ndio anakupa mtaji usio pungua milioni ishirini? Sio huko eti wakinga wananunua na kutoa kafara kwa kuua ndugu.Tanga hakuna kafara la kumwaga damu ya ndugu , sharti Ni moja tu, usitembee na mwanamke wa nje, amini usiamini Hilo sharti hata Mimi limenishinda. Isitoshe na mtaji unapewa. True kabisa sema kiapo chake tu ndio balaa.
Kwa sharti hilo siwezi kufaulu mtihani wao
 
Back
Top Bottom