Samuel Sitta atukana nyumba za ibada.
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.
Akiwakaribisha wageni ambao ni waumini wa makanisa bwana(sidhani kama anafaa kuitwa mheshimiwa) Sitta amesema na hapa namnukuu "muwe waangalifu huko makanisani kwani baadhi nyaraka zinazosomwa huko ni za kipuuzi".Huenda sijanukuu maneno yote kwa usahihi ila kikubwa amesema nyaraka hizo ni za kipuuzi!
Wadau,nafikiri wote mnankumbuka waraka wa jumuiya ya kikiristo Tanzania(CCT) uliokuwa unasomwa makanisani na waraka huo ulikuwa unapinga kuendelea kwa bunge hilo.
Sasa mdau tafakari mwenyewe mzee Sitta alikuwa anaongelea nyaraka gani na utapata jibu alafu jiulize mwenyewe athari ya kaulu kama hiyo kwa mchakato huu na Taifa kwa ujumla.
Alafu,hivi kila mwenye kuvaa suti na kuwa na mnvi anastahili kuwa kiongozi?
Mods,naomba msiunganishe huu uzi ila watu waelewe na waone alichosema.Mods nawasihi hii kauli isimame peke yake.
This Sitta guy someting just got into his head!!!!Abomination.
Huyu mnyamwezi mwenzangu kapoteza direction ya hii nchi na hata ya kwake mwenyewe. Halafu anataka kuwa head of state wa hii nchi,you just lost it my home boy
Sasa wameanza kukashifu hadi waumin na viongozi wao??
Kweli laana ya walalahoi ikikukumba inaleta mchanganyiko wa akili.
Sitta mwisho wako sio mwema.
Amesema hivyo hivo kwa sababu Mungu amemalaani haoni wala hasikii amekuwa Kiziwi kwa kujipendekeza kwa Kikwete wakimfungia novena baada ya siku chache tu utashangaa kapinda mdomoMwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samweli Sitta,bila haya wala kumungunya maneno,amethubutu kusema baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi kabisa.