Siungi Mkono Kujengea makaburi

Siungi Mkono Kujengea makaburi

Kuna kipindi nli stuck kinoma mambo yakawa magumu (ugumu ambao hauelezeki) Aunty yangu akanishauri "nenda kafanye usafi kwenye makaburi ya wazazi wako uombe baraka zao" nlikua nna mda mrefu sana sija enda huko , basi nikaenda huko nikafanya usafi nikarudi zangu town mda si mrefu nikapata kazi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Awamu hii nenda kafanye tena usafi, ukirudi tu unaamia Simba
 
Wale wanaowafanyia sherehe marehemu kwa kuwavika nguo mpya sijui, ukiwaona si utawalata mapanga kabisa kama kujengea kaburi tu umetokwa povu namna hiyo.
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Nchi hii imekusanya matakataka sana! Wewe jamaa mleta mada ni mmoja wa hayo matakataka!
 
Kuna mkuu mmoja wa UN kaburi lake lina picha kubwa ukiwa unaendesha gari km ile picha inakukimbiza vile.
 
Ukiwa mvivu na mnyimi/mchoyo Kila kitu cha kijamii utajoji na utaona kama wanakuibia.Lakini ukiwa mchapa kazi na usiye na roho ya uchoyo utaunga mkono Yale yanayofanywa na jamii kwa mantiki ya kuleta umoja na mshikamamo😃
Kwa hiyo suala ni kuleta umoja 😀
 
Back
Top Bottom