sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Swali lako linahusu waliokufa.Likijengwa kwa nakshi na malumalu ndo utafufuka?? Au ndo hautaoza?¿???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako linahusu waliokufa.Likijengwa kwa nakshi na malumalu ndo utafufuka?? Au ndo hautaoza?¿???
Hata wasipojenga itabadili nini?Hata siku ukifa wasijenge kaburi lako etii!!
Adui Ujinga na Umasikini bado ni tishio kwa Taifa letu.
Hawa wezee wa,mipango yawezekana iliye chini ndoo kaleta mali lazima kaburi liwe kama gorofa si ameleta mihela[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]mambo ya wakinga
Ukishaingia humu JF kwa fake ID wewe tayari umejiua, hivyo ni mfu unayeishi dunia nyingine.Kumbe nachat na mzimu eeh! Tunaojua wema wako ni sisi wala sio wewe
Awamu hii nenda kafanye tena usafi, ukirudi tu unaamia SimbaKuna kipindi nli stuck kinoma mambo yakawa magumu (ugumu ambao hauelezeki) Aunty yangu akanishauri "nenda kafanye usafi kwenye makaburi ya wazazi wako uombe baraka zao" nlikua nna mda mrefu sana sija enda huko , basi nikaenda huko nikafanya usafi nikarudi zangu town mda si mrefu nikapata kazi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nchi hii imekusanya matakataka sana! Wewe jamaa mleta mada ni mmoja wa hayo matakataka!Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa. Binadamu tunapuyanga katika hili.
Sidhani kama wazazi wake wanamchukia kiasi hicho mkuu 😄😄Awamu hii nenda kafanye tena usafi, ukirudi tu unaamia Simba
SawasawaHata siku ukifa wasijenge kaburi lako etii!!
Adui Ujinga na Umasikini bado ni tishio kwa Taifa letu.
Nikiwa nje ya kaburiKwani unaandika ukiwa kaburini au kaburi lako?
Kwa hiyo suala ni kuleta umoja 😀Ukiwa mvivu na mnyimi/mchoyo Kila kitu cha kijamii utajoji na utaona kama wanakuibia.Lakini ukiwa mchapa kazi na usiye na roho ya uchoyo utaunga mkono Yale yanayofanywa na jamii kwa mantiki ya kuleta umoja na mshikamamo😃
Hahahaaa.... Itakuwa hana hela huyo.Utaki wajengewe au huna hela ya kuchangia?
Mtu katukanwa hapaNi mjinga pekee anayeona kujengea makaburi ni ujinga.
kwenye majumba yaliyojengewa vzuri mithili ya nyumba kubwa ,,mfano misriWalizikwa vipi?