King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wakishajua alipozikwa babu yao, ni faida gani itapatikana..?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Badili jina mkuu ,mwenzako Edward Snowden alikua ana IQ kubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishajua alipozikwa babu yao, ni faida gani itapatikana..?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umeshindwa kujibu swali.Badili jina mkuu ,mwenzako Edward Snowden alikua ana IQ kubwa sana.
Ukifa umekufa tu.Wewe huwezi kuwa na faida huku duniani ndio maana nimekushauri juu ya kaburi lako pajengwe choo cha public
Tatizo ume panic....Sio mapapai hayo watauza wapate hela na wewe hutaki hela, waambie wajenge choo cha public
Hapa tutaambiwa hata kuzikwa ni ujinga pia,kisa tuu ndugu hana mchango wa sanda.Ni mjinga pekee anayeona kujengea makaburi ni ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa.Watu wanataka ndugu zao watambe uko kuzimu "oyaa mazee na geto kalii kinoma"
Kama ni hivyo hakukua na haja hata ya kuzikaUkifa umekufa tu.
Acha ubishi...
Umuhimu wa dead body ni kuoza na kuongeza nutrients kwenye soil.
Hivyo vingine anavyo fanyiwa marehemu ni mbwembwe tu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa una shida kwenye brain...Ndiyo maana nimekwambia wajina wako ana IQ kubwa sana ,jibu nilishatoa pale pale uliponiqoute lakini haujaliona.
Kufa ni kufa tu mtu akisha tokwa roho thamani yake imekoma kujengea kusafirisha ujinga mtu hiweje inasafirisha na kujengea mzogo husio na thamaniUkiwa mwema duniani kariburi lako litajengewa kwa nakshi na marumaru, na kupendwa lkn ukiwa wa hovyo kaburi lako litapigwa hadi viboko.
Kujengea ni makumbusho?unamkumbusha nani?unapo ona kabri la babu yako aliyekufa miaka 50 ukumbusho huo unakusaidia nn?kufa ni kufaUtakuja kusema hata makumbusho ni ujinga
Ukijua kaburi la ndugu yako mzazi wako lilipo linakusudia nini?au unataka kuliabudu na kutabikaWengine wana amini Kaburi ni nyumba ya marehemu. Nyumba lazima iheshimiwe haiwezi kuachwa katika mazingira mabovu
So lazima itengenezwe katika hali mzuri iwe na muonekano wa kuvutia.
Lakini pia kutengeneza unique kwa ajili ya utambuzi maana siku hizi makaburi yamefanywa kumbukumbu.
Yani sehemu yenye makaburi zaidi ya 2,000 ni ngumu sana kuweza kujua kaburi la ndugu yako iwapo makaburi yote yatakuwa ya udongo.
Ndio kusema unapata baraka kutoka kwa mzogo uliokufa miaka kenda hiliopita,nisawa na mtu alieko uraiyani kwenda kumuomba msaada mfungwa mtu hakisha kufa Kawa mzoga hana uwezo tena wa kumsaidia aliehai kama angekuwa na uwezo huo asinge tukiwa kwenye shimo agatoka akaja kuishi na wapendwa wake iweje wewe akupe baraka?Kuna kipindi nli stuck kinoma mambo yakawa magumu (ugumu ambao hauelezeki) Aunty yangu akanishauri "nenda kafanye usafi kwenye makaburi ya wazazi wako uombe baraka zao" nlikua nna mda mrefu sana sija enda huko , basi nikaenda huko nikafanya usafi nikarudi zangu town mda si mrefu nikapata kazi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji16][emoji1][emoji1]Likijengwa kwa nakshi na malumalu ndo utafufuka?? Au ndo hautaoza?¿???
Hiyo ni imani mkuu, nikama zilivyo diniKufa ni kufa tu mtu akisha tokwa roho thamani yake imekoma kujengea kusafirisha ujinga mtu hiweje inasafirisha na kujengea mzogo husio na thamani
Hapo hakuna cha jamii wala mashirikiano haiwezekani uchangie kujengea mzoga au kusafirisha hiyo hela si bora utumie na wapendwa wako itakayo salia utie kifurushi ubadilishane mawazo na wanajamii fUkiwa mvivu na mnyimi/mchoyo Kila kitu cha kijamii utajoji na utaona kama wanakuibia.Lakini ukiwa mchapa kazi na usiye na roho ya uchoyo utaunga mkono Yale yanayofanywa na jamii kwa mantiki ya kuleta umoja na mshikamamo[emoji2]
Hata lugha unayotumia inaonesha hujali utu binadamu hatuiti mzoga tunaita mabaki/remains au kaburi kwa wanaozika au kujenga.Hapo hakuna cha jamii wala mashirikiano haiwezekani uchangie kujengea mzoga au kusafirisha hiyo hela si bora utumie na wapendwa wako itakayo salia utie kifurushi ubadilishane mawazo na wanajamii f